CDM walichofanya , kilipaswa kufanywa na vyama vingine ili kuwamsha ccmuChama pekee cha upinzani chenye uhakika wa kuwa na wabunge baada ya uchaguzi bila upendeleo ni ACT-WAZALENDO. Watapata wabunge kutokana kukubalika kwao Pemba na sehemu za Unguja. Wanachohitaji ni kuongeza wabunge wa kutosha kutoka Bara ambapo CDM wana mvuto zaidi. CDM wamewapa hiyo nafasi kwa kucheza vibaya karata zao. Na wanazidi kujiharibia kwa namna wanavyo wasimanga wanachama wao wanaotofautiana nao kimkakati.
Wanachofanya ACT-WAZALENDO ni kama walivyofanya CDM kwa kumuunga mkono mgombea wa urais Zanzibar badala ya wa kwao. Kama nakumbuka vizuri kuna wakati mgombea mwenza wa urais wa CDM alitoka ACT-WAZALENDO.
Amandla...
NJAA55 geti limefunguliwa kazi kwenu"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
Nchi gani? Mwandiga?Zitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
WAAMBIENI CHADEMA WAACHE UTOTO"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
G55 waende huko..."Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
Wengi ya wanaoongea kama wewe wako kwenye siasa kwa sababu tu ya maslahi binafsi. Watu mnaona ubunge ndiyo kipambaumbele tena ubunge wa kupewa. Hivi unajua Heche alipigiwa simu na watu wakubwa tu wakimshauri wakubali kuingia kwenye uchaguzi halafu eti watapewa viti vya ubunge? Yaani CCM imeshafikia kwenye hatua ya kugawa viti vya ubunge kwa vyama vya upinzani! Na hili ndilo Mbowe na wafuasi wake walitaka. Kama ulivyosema hata mimi najua ndivyo itakavyokuwa, ACT wataachiwa viti vya Pemba, na pia wanaweza kupewa viti vichache bara, na kurudi tena kwenye serikali ya umoja wa kitaifa lakini kiti cha urais Zanzibar wasahau. Hata kama watashindwa kwa asilimia 100, hawatatangazwa. Kwa hiyo tunarudi kule kule... CCM itabaki na vyama bandia vya upinzani, na pia wabunge wote lengo lao kuu litakuwa ni fedha. CHADEMA imefanya uamuzi mzuri sana. Ni bora iwe nje ya bunge kwa miaka yote 5 inayokuja, lakini faida wataiona baadae.Chama pekee cha upinzani chenye uhakika wa kuwa na wabunge baada ya uchaguzi bila upendeleo ni ACT-WAZALENDO. Watapata wabunge kutokana kukubalika kwao Pemba na sehemu za Unguja. Wanachohitaji ni kuongeza wabunge wa kutosha kutoka Bara ambapo CDM wana mvuto zaidi. CDM wamewapa hiyo nafasi kwa kucheza vibaya karata zao. Na wanazidi kujiharibia kwa namna wanavyo wasimanga wanachama wao wanaotofautiana nao kimkakati.
Wanachofanya ACT-WAZALENDO ni kama walivyofanya CDM kwa kumuunga mkono mgombea wa urais Zanzibar badala ya wa kwao. Kama nakumbuka vizuri kuna wakati mgombea mwenza wa urais wa CDM alitoka ACT-WAZALENDO.
Amandla...
I second!Wengi ya wanaoongea kama wewe wako kwenye siasa kwa sababu tu ya maslahi binafsi. Watu mnaona ubunge ndiyo kipambaumbele tena ubunge wa kupewa. Hivi unajua Heche alipigiwa simu na watu wakubwa tu wakimshauri wakubali kuingia kwenye uchaguzi halafu eti watapewa viti vya ubunge? Yaani CCM imeshafikia kwenye hatua ya kugawa viti vya ubunge kwa vyama vya upinzani! Na hili ndilo Mbowe na wafuasi wake walitaka. Kama ulivyosema hata mimi najua ndivyo itakavyokuwa, ACT wataachiwa viti vya Pemba, na pia wanaweza kupewa viti vichache bara, na kurudi tena kwenye serikali ya umoja wa kitaifa lakini kiti cha urais Zanzibar wasahau. Hata kama watashindwa kwa asilimia 100, hawatatangazwa. Kwa hiyo tunarudi kule kule... CCM itabaki na vyama bandia vya upinzani, na pia wabunge wote lengo lao kuu litakuwa ni fedha. CHADEMA imefanya uamuzi mzuri sana. Ni bora iwe nje ya bunge kwa miaka yote 5 inayokuja, lakini faida wataiona baadae.
Kweli kabisa, kati ya makosa walivyofanya wanachama wa CUF ni kujiunga na ACT, binafsi ninaona kwa misimamo ya Wazanzibari walitakiwa wajiunge na CHADEMAWanataka kufanya siasa au wanataka vyeo? Jamaa huyu sijui aliwezaje kuwateka CUF wakaingia kwenye hamsini zake. Hawa watu kiu yao kubwa ni vyeo.
Hii ndiyo siasa.Kuliko kutangaza uasi"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
Acha utani na acha kichekeshoZitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
Zitto kuendesha chama kinachokubalika na wananchi ameshindwa. Ashukuru sana kama siyo mgogoro wa CUF leo hii ACT ingekuwa kama chama cha Cheyo. Kwa kifupi hana mvuto kwa sababu hasimamii haki na shida za wananchi.Zitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
wacha waende CCM inawasubiri iwaibie kuraHuyo mamluki tu. Hapo anawatongoza G55 wajiunge ACT
Hayo kasema Heche na hayakuanza leo. Wabunge wa CDM wamejiuzulu ubunge, wakaunga juhudi, wakagombea kwa niaba ya CCM kwenye uchaguzi maalum kwa ajili ya kiti alichoshinda awali na akashinda na leo wako bungeni na wengine ni mawaziri. Inaelekea wewe ni mgeni sana katika siasa za Tanzania. Kila mbunge wa CDM aliwahi kuahidiwa ubunge na pesa akihamia CCM.Wengi ya wanaoongea kama wewe wako kwenye siasa kwa sababu tu ya maslahi binafsi. Watu mnaona ubunge ndiyo kipambaumbele tena ubunge wa kupewa. Hivi unajua Heche alipigiwa simu na watu wakubwa tu wakimshauri wakubali kuingia kwenye uchaguzi halafu eti watapewa viti vya ubunge? Yaani CCM imeshafikia kwenye hatua ya kugawa viti vya ubunge kwa vyama vya upinzani!
ACT-WAZALENDO hawajawahi kuachiwa viti Pemba au Unguja. Sana sana walikuwa wanadhulumiwa viti. Sasa unamhongaje mtu ubunge ambao ni wa kwake? Kiti cha urais Zanzibar hawawezi kusahau ingawa wanajua kutangazwa mshindi haiwezekani.Na hili ndilo Mbowe na wafuasi wake walitaka. Kama ulivyosema hata mimi najua ndivyo itakavyokuwa, ACT wataachiwa viti vya Pemba, na pia wanaweza kupewa viti vichache bara, na kurudi tena kwenye serikali ya umoja wa kitaifa lakini kiti cha urais Zanzibar wasahau.
Kama wanachama na wafuasi wa CDM bila shaka mtashinda baada ya miaka 5. Swali ni je kama katika huo muda hapatakuwa na reforms za maana? Mtavumilia mpaka 2035?Hata kama watashindwa kwa asilimia 100, hawatatangazwa. Kwa hiyo tunarudi kule kule... CCM itabaki na vyama bandia vya upinzani, na pia wabunge wote lengo lao kuu litakuwa ni fedha. CHADEMA imefanya uamuzi mzuri sana. Ni bora iwe nje ya bunge kwa miaka yote 5 inayokuja, lakini faida wataiona baadae.
Lissu aliishasema kuwa mazungumzo yameanza na baadhi ya hao mnaowaita Covid-19. Kwa hiyo nae ni msaliti?Maandalizi ya kupokea covid+19 na masalia ya njaa 55.. Zitto ni pandikizi la kitambo