PreGE2025 Zitto Kabwe: Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, Karibuni ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna siasa ambayo haina vyeo?.Siasa ni mchezo wakunyang'anyana vyeo na madaraka kupitia mgongo wa wananchi.Wanasiasa wote duniani lengo lao ni moja.
Siasa inaweza kuwa na vyeo kama sehemu ya muundo wake eg urais, ubunge, uwaziri ila vyeo siyo lengo lenyewe, bali ni nyenzo ya kutekeleza majukumu ya kisiasa.
Poor you, CCM imekudang'anya na unadhani siasa ni kupigania vyeo na dunia yote hufanya hivyo.
 
Upepo unaenda kubadilika. Chama kikuu Cha upinzani Tanzania ACT-WAZALENDO
Kwenye siasa ukishaanguka ndio Bai Bai. omba tu bahati itokee. Kamuulize CUF na NCCR
 
Haujawahi kufanya siasa halisi. Mara zote siasa halisi zinapita njia ngumu. Waliozoea siasa za UCHAWA hawawezi kupita njia hii maana ni nyembamba πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, ninaunga mkono no reform no election. Mpaka kieleweke, wataachia hao
 
Mkuu mbona una kichwa kigumu hivyo?? CDM haina tamaa wala uroho wa madaraka. Wanachafanya hivi sasa na kupigania mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi. Utakaowasaidia hata hao wenye tamaa ya madaraka kwenye vyama vyao, kuweka usawa kwenye ushindani.
 
Ni kupoteza muda tu! Act wazalendo haiwezi kushinda hata kiti kimoja kwa kanuni hizi za uchaguzi!
 
Hapa ni kamchezo kakutafuta wale covid wakupokelea hela za wahisani ndo kanatafutiwa njia...
 
Zitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
Lengo la Zitto ni kufanya siasa, siyo kuchukua nchi.

Yeye anachukulia siasa kama kazi.

Anaona ni fursa ya kujinufaisha kimaisha tu na si vinginevyo.

Zitto Zuberi Kabwe Luyagwa is a first class opportunist. Maslahi kwanza.
 
Acha upotoshaji. Sio mazungumzo wameandika barua ya kuomba msamaha. Ni wawili tu.
Upotoshaji uko wapi? Mazungumzo si bado yanaendelea kuhusu maombi ya hao wawili? Au CDM hamjadiliani kitu, ni uamuzi wa Mwenyekiti tu?

Amandla...
 
Ni kweli mimi sio mwanasiasa. Hiyo njia ngumu haikuanza kwa Lissu peke yake. Sio wagombea wa CDM peke yake ndio walioumizwa. Uamuzi wa No Reforms No Elections ni wa CDM peke yao. Vyama vingine vina haki ya kukataa kuwaunga mkono. Kuwaita machawa au CCM B au C hakutawafanya wabadilishe msimamo wao.

Amandla...
 
Huu ni mwaliko kwa John Mrema na kundi lake la Wasakatonge 55.
Labda wapate ubunge wa kupewa.
Kwanza Mrema ni domo zege, anaongea kama ametoka Marangu leo.
Awachukue hayo Magudume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…