Kwani kuna upotoshaji?
Huyu jamaa bonge lanafiq wakati wa jpm alikuwa anapinga kila kitu.......Naona amekuwa msemaji wa CCM
Ahaaaa, nilijua utajaa tu namna hii. Ipo wazi kuwa ile ni Usd bil 6.253. sasa Kiongozi kukosea kutamka ndio ishu ya wewe kukomaa kana kwamba hujaelewa nini ni nini?Ebo! Kumbe nilikua nakupa alama za juu kidogo kuliko unazo stahili? Kama hakuna shida unafikiri kwanini imekua gumzo?
Ungekua kwenye huu uzi kweli kama B na M zisingejitokeza kwenye hotuba?
Jaribu kutuliza kichwa kidogo mkuu.
Unajua tokea mwanzo nilijua kabisa una shida, ila sikujua shida ni kubwa kiasi hichi.Ahaaaa, nilijua utajaa tu namna hii. Ipo wazi kuwa ile ni Usd bil 6.253. sasa Kiongozi kukosea kutamka ndio ishu ya wewe kukomaa kana kwamba hujaelewa nini ni nini?
Ahaaaa, acha mikwara ya kitoto. Kama una akili timamu huwezi kujadili upuuzi kama huu. Ipo clear kuwa Usd bil 6.253 ni foreign reserve. Sasa mkuu wa nchi kukosea kutamka ndio ishu?Unajua tokea mwanzo nilijua kabisa una shida, ila sikujua shida ni kubwa kiasi hichi.
I was once warned not to argue with a fool, in fact it is prohibited. You will eventually be dragged to his level then they will win, why? They are experienced!
Acha ujinga wewe.Ahaaaa, acha mikwara ya kitoto. Kama una akili timamu huwezi kujadili upuuzi kama huu. Ipo clear kuwa Usd bil 6.253 ni foreign reserve. Sasa mkuu wa nchi kukosea kutamka ndio ishu?
Unaweza kudhania una akili kumbe mpumbavu.
Sijadili juu ya B na MUzi uanzishe mwenyewe kisha uite watu wapumbavu?
Uzi umejikita kuwashangaa wanaojadili hili jambo. Nimekuuliza, wewe una jadili au haujadili?
Hapo namaanisha umeelewa vizuri kilichoandikwa na zitto hadi ukakileta hapa licha ya kuwa tayari ulishafungua uzi mwingine wenye maudhui ya tatizo la B na M?
Uzuri ni kwamba unaweza kuniita chochote, haina madhara kwangu.
Nakuuliza tena, kwa mujibu wa hii heading ya huu uzi, wewe unajadili au haujadili B na M?
Opportunities !!!Ana ubia aka ushirika na serikali. Ni haki yake.ππππ
Sijadili juu ya B na M
Mdumavu wa akili huyo.Ameshasahau kwa nini ameuleta huo uzi.Huu uzi umeuleta hapa wanini kutoka huko aliko post zitto?
Ili watu wasio na uelewa kama wewe uelewe kuwa foreign reserve ya Tanzania ni Usd bil 6.253. Hivyo kiongozi kukosea na kusema ni Usd mil 6253 sio ishu ya kushupaza shingo mpaka mnajambaHuu uzi umeuleta hapa wanini kutoka huko aliko post zitto?