Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

Zitto hiyo Makao.makuu yako ilikuwa nyumba Ya Marehemu Maalim Seif. Lipumba aka mpora enzi za JPM. Hizi zama za mama na wewe Zitto ume mpora Lipumba. Ume paka Rangi za ACT tu. Huja jenga.
Jengo ya Makao makuu Dar (Taz Bara) akati huku huna Mbunge hata 1??
Na kabla ya hapo walipangishiwa watu walikuwa wanaifanya hospital

Ova
 
sioni jitiada zozote wanazozifanya kutaka kuikomboa tz kutoka kwa mkoloni mweusi
Kwani Chadema umeona jitihada gani wanazozifanya. Lisu na Lema wamekimbilia Ulaya baada ya kukosa Ubunge, karibuni watarudi ili muwapogie kura tena.
 
Kwani Chadema umeona jitihada gani wanazozifanya. Lisu na Lema wamekimbilia Ulaya baada ya kukosa Ubunge, karibuni watarudi ili muwapogie kura tena.
Mahubili na uhamasishaji wao unatosha sana kutitia hamasa na kutufungua akili. Sioni kitu chochote kinachofanywa na ACT zaidi ya kuludisha nyuma jitiahada zinazofanya na wapinzani wa kweli na wenye uchungu wa nchi hii na maono mema yanayofanywa na chadema
 
Zitto akisema inaonekana anatumika ni CCM B

Ila maadui zake wakimpiga majungu wanaonekana wanasema kweli

Hii nchi CCM kutoka madarakani bado sana hadi wapumbafu na wajinga wapungue au waishe kabsa

Na kwa upande wangu naomba CCM iendelee kuongoza ila vyama pinzani wapate wabunge na madiwani wengi.
 
Kwa hiyo shule zinajengwa na hela za chama?
Kama umeshika madaraka na bajeti na mahela ya walipa kodi utaweza yatumia kuleta maendeleo?

Tatizo la wadanganyika uwezo wa kufikiri ni mdogo...

Una weza tumia lugha ya picha kupeleka ujumbe na usifike sabab ya aina ya watu ulio nao
 
Zitto mbona analeta siasa za maji taka? Jukumu namba moja la serikali ni lazima watoe huduma za jamii ikiwemo maji ,shule ,barabara ,hospital etc ilo sio ombi ni lazima hata serikalini ingeongozwa na "MATONYA" maana kuna Bunge ndio linalowakilisha wananchi na kuisimamia serikali kutekeleza matakwa ya wananchi.
Hizi zile songambele za kujitolea zimekaaje kaaje na michango michango yakujenga SHULE
 
Zitto na Chama chako mnafahamika kuwa nyie ni vibaraka wa wanyonyaji na hamna nia ya kuwasaidia wanyonge. Mpo tu ili kuzuga na kujaza matumbo yenu.

Chama chenu ni islamic brotherhood of Tanzania and Zanzibar.

Kujenga ofisi huku hamkubaliki kwa wananchi ni ubatili mtupu. Maana hamna mtachoambulia.
 
Wakati cuf wapo ukawa humuwaona Kama ni Muslim brotherhood?..
Walikuwa wapinzani Kama wengine sio?
 
Hii ni kupigana midongo ya nguvu

"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
View attachment 2402599
Baba kuwa na kitambi si kiashiria kuwa watoto wana afya bora. Kujenga ofisi ya makao makuu ilhali huna ofisi za vijiji, wilaya/majimbo na mikoa, si suala la kutolea kauli za kujitapa kama vile una akili sana. Ni sawa na baba mlevi anayeweza kunywa bia kreti nzima bar ilhali nyumbani hajaacha kitu.
 
Hii ni kupigana midongo ya nguvu

"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
[emoji116]
View attachment 2402599
Hata kama Chadema wanafanya kazi chini ya mti bado ndo chama makini na kinapendwa na wapenda haki wengi.Hivyo acheni kjisumbua.Cha ajabu cdm haitupii madongo vyama vya upinzani maamuluki wataka kupanda ngazi kupitia mgongo was cdm;hamtaweza
 
Hii ni kupigana midongo ya nguvu

"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
View attachment 2402599
Wewe ni msaliti unayetumika kama gogo la chooni tu! Hata ukijifanya una busara tu wewe ni mfuniko wa mavi ya ccm! ref. Ulikuwa snitch wa upinzani, kwa jakaya, \ulishindwa kwa magu, sasa umerudia kazi yako wewe ni SNITCH period! Katiba mpya hadi baada ya 2025 by the notorius snitch ZZK
 
Zitto directly hapa katuunga mkono CCM, ka prove kabisa ACT hawawezi, asante wa kutuunga mkono CCM.

Hii ni kupigana midongo ya nguvu

"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
View attachment 2402599
 
sisi wenye macho mekundu tutajenga shule na mahospitali mioyoni mwa watanzania,
 
Back
Top Bottom