Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Safari hii CCM itawapiga wanawake zake wote kwa mkupuo kama ilivyokuwa 2015
 
Hueleweki nini unataka kwanini uliweka mgombea ilihali ukijua hana nguvu? Si mlipewa muda na utaratibu wa kuungana ... WE MPIGIE UNAEMUONA ANAFAA NA SISI TUTAMPIGIA TUNAEMUONA ANAFAA
 
Wametunga Sheria nyingi za kijinga ili Wapinzani wasiungane lakini imekufa kwao
Hivi kuna sheria inakataa kuungana? Ninachojua hiyo sheria inakataza vyama kuungana kihuni namna hiyo
 
Yeye kama yeye kadeclear kumpigia Lissu. Anawashaurije wafuasi wake?

Membe atampigia nani? Mbona kuna kigugumizi
kwenye hii issue? Chama kimeshindwa kuafikiana!?
Ameshasema tutampigia kura mpinzani ambae atakua na ushawishi kuliko wengine, so kwa maana nyingine hata chauma wakiwa na ushawishi kuliko vyama vyote vya upinzani Basi maelekezo ya Zitto yange apply
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Membe sasa hivi haamini macho yake kama hawa ndio watz wale wale wa mitandaoni waliomshabikia miezi kadhaa iliyopita.

Zitto ana zambi sana. Mlichomfanyia Membe Mungu atawalipa.
Kama alitumwa arudi akawaambie watanzania wameshtuka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida itatokea pale Lissu akipata urais kila mtu atasema anataka uwaziri mkuu kwa sababu alimsaidia kuupata huo urais na ugomvi mkubwa utatokea miongon mwao
 
Membe hajachelewa .anatakiwa kutangaza kumuunga mkono Tundu Lissu mara moja.zimebaki Siku 12 kabla ya uchaguzi.
 
Ameshasema tutampigia kura mpinzani ambae atakua na ushawishi kuliko wengine..
Kasema hivyo kwa diwani na Ubunge ila hajasema hivyo kwenye Urais.

Kwenye Urais kasema YEYE atampigia Lissu then kawaacha nyie mtumie bongo zenu
 
Mimi Simoni Siro maarufu kwa jina la Malcom xx hapa jamii forum natangaza kumpigia kura Lissu katika kiti cha urais wa Jamhuri ya muumgano wa Tanzania.


Pia familia yangu nayo imekubali kumpigia Lissu kura
 
zito unatuchanganya sisi wapiga kura, maana sisi tunamtambua Membe sasa kimetokea nini ?! unapaswa utoe tamko rasmi na uelezee sababu za kufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…