Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

haihusiani na mada: Ule Uzi wa kinachoendelea Mtwara mbona umefungwa sasa? Watanzania tunataka kujua ndugu zetu kusini wanaendeleaje na SIRIkali inafanya nini au tunasubiri waenee TZ nzima tuanze kuishi kwa tafrani?
 
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.

Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:

1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo...
Amazing decision
 
niliwahi kusema na ninarudia kusema tena vyama vya upinzani sio vya kuaminika.....bado ktk nchi yetu hatujapata vyama vya upinzani Imara na Madhubuti......inawezekana baadhi ya watu au mtu mmoja mmoja wako madhubuti lkn sio chama/vyama......bado sio ACT, CHADEMA n.k vyote vina madhaifu makubwa......Lissu anaweza kuwa imara lakini chama kama chama dhaifu......hivyo huwezi kuunda serikali kama unachama legelege au kisicho na msimamo. na watanzania makini kamwe hawawezi kuamini chama dhaifu kisicho na msimamo madhubuti.

ufafanuzi;
naamini kabisa msimamo wa Zitto haungwi mkono na viongozi waandamizi wa chama chake. vivo hivyo baadhi ya misimamo ya Lisu haiungwi mkono na viongozi waandamizi wa chama chake.

kwa sababu hiyo mwaka 2024 nitaundwa/nitaanzisha chama changu cha upinzani madhubuti. maandalizi yataanza mara baada ya uchaguzi....naomba mniunge mkono.
 
Tumia akili... Kuna mtego unakwepwa... ccm, msajili na tume watajua hawajui
I think You should start using yours as well. Mtego upi? Tell me. Yaani mtego uwe set kwa nafasi ya urais tu ila sio kwa Wabunge au Madiwani?
 
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.

Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:

1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo....
Naungana na wewe napia niombe sasa watanzania wapenda mabadiliko tufunge siku tatu kwa ajili ya dua ya kuomba atayeke iba kura basi Mungu ashulike naye mara moja kwakufedhehesha, awachape wote watakaye jaribu kudhulu wengine ushindi ikiwa kutangaza aliyeshida

Nyiye wanasiasa azeni sasa kutangaza hili na hii dua tuiaze ijumaa siku ya sala kwa waslimu, jumamosi siku sabato na jumapili siku ya bwana Yesu.

Hii biashara ya Viongozi wa kidini kuwa wanafiki yakujidai tuombe amani taifa wakijua hakuna usalama na afanafanya ujinga wote ni serikali ila hawasemi wakiitwa ikulu wanasifia tu ujinga.​

Tusikubali sasa viongozi wenye wa dini ndiyo wakina gwanyima, shee wa Dar

Hata kama waganga, wazee wakimila nao wafanye yao pia.
 
Bado unasubiri atangaze kuwa wana ACT nao wampigie...
Tamko lake heading imebeba taswira ya kuwa hilo ni tamko la chama ila ndani anaongea on his own behalf.

CHADEMA are doing much better. Maamuzi yanaamuriwa na vikao na sio mtu mmoja akiongelea kutokea Kibirizi, Kigoma.

Safari ya Membe kurudi alipotoka sasa imekuwa fasttracked.
 
Sisi Watanzania October 28 tunachukua tunaweka waaa kwa Rais Magufuli na Ccm
 
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.

Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:

1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo...
Jasiri usiye na mfano. A true Leader
 
niliwahi kusema na ninarudia kusema tena vyama vya upinzani sio vya kuaminika.....bado ktk nchi yetu hatujapata vyama vya upinzani Imara na Madhubuti...
Tatizo la upinzani ni kuwa wanajenga personalities badala ya chama WAKO VERY WEAK

Unakuta mtu ndiye popular sio chama!!! mfano mzuri Lowasa alipoingia upinzani alipata kura nyingi akaambulia wabunge 40 kati ya 264 ina maana hata angeshinda uraisi bunge lingemkwamisha kwa kila kitu sababu CCM ndio ingekuwa na nguvu bungeni na ndio ingetoa spika na naibu spika.Ilitokea hivyo sababu mgombea Lowasa alikuwa popular kuliko CHama!!

Same thing inatokea zanzibar Seif yuko popular kuliko chama matokeo yake miaka yote anashindwa kupata wajumbe wa baraza la wawakilishi wa kutosha!!!

Hili linatokea kwa vyama vyote,Lisu naye kajenga brand yake ya u popolar zaidi ya Chama huko chini mauaji hakuna kitu watu wagombea ubunge na udiwani maeneo yao wako very unpopolar na sehemu nyingi zina wagombea ubunge wasio hata na matawi ya chadema yenye watu hata 50!!! Unakuta mtu kachukua fomu kugombea ubunge wa jimbo lakini tawi la chadema liko moja tu lina watu hawafiki hata 50

Wagombea ambao ni serious and they mean business Chadema kwa hesabu zangu hawazidi 20 .Hivyo waweza ona tatizo la kujenga Brand binafsi linavyoweza leta shida kwenye vyama ina maana hata Lisu angeshinda bunge litakuwa sio lake ni la CCM ndio wenye bunge na waweza mkwamisha na kumpiga chini ili uchaguzi urudiwe kwa kukwamisha kila kitu ambacho angekipeleka bungeni ambacho kingepelekea bunge kuvunjwa na yeye arudi tena akichechemea kuanza kuomba kura upya!!

Anyway tunamshukuru Lisu kwa kuwa msindikizaji kwenye huu uchaguzi kachangamsha baraza
 
Tamko lake heading imebeba taswira ya kuwa hilo ni tamko la chama ila ndani anaongea on his own behalf.

CHADEMA are doing much better. Maamuzi yanaamuriwa na vikao na sio mtu mmoja akiongelea kutokea Kibirizi, Kigoma.

Safari ya Membe kurudi alipotoka sasa imekuwa fasttracked.
Mkuu walishapigwa stop na tume kuonekana wanaungana hadharani iliwa na wao wana mgombea. Hiyo ndio tekniki iliyokuwa imebaki. Akiongea kiongozi mkuu wa chama sisi wanachama tunaelewa na tutampigia kura TAL
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi
 
Back
Top Bottom