Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amazing decisionMSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo...
..Safi sana.
..Tunafurahi kukuona tena ktk kampeni.
Asante Zitto kwa hekima kubwa!CCM hatusumbuki na kauli hiyo - tutapiga kundi lotee
I think You should start using yours as well. Mtego upi? Tell me. Yaani mtego uwe set kwa nafasi ya urais tu ila sio kwa Wabunge au Madiwani?Tumia akili... Kuna mtego unakwepwa... ccm, msajili na tume watajua hawajui
100% correctMimi nitampigia kura yangu Mh. Lissu usiniulize mke wangu atampigia nani maana yeye nae ni mtu mzima atachagua kiongozi anayemtaka....
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo....
Tamko lake heading imebeba taswira ya kuwa hilo ni tamko la chama ila ndani anaongea on his own behalf.Bado unasubiri atangaze kuwa wana ACT nao wampigie...
Jasiri usiye na mfano. A true LeaderMSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo...
Wizi je?Safari hii CCM hawana pa kuchomokea
Uunde chama chako na CCM umwachie nani?niliwahi kusema na ninarudia kusema tena vyama vya upinzani sio vya kuaminika.....bado ktk nchi yetu hatujapata vyama vya upinzani Imara na Madhubuti...
Tatizo la upinzani ni kuwa wanajenga personalities badala ya chama WAKO VERY WEAKniliwahi kusema na ninarudia kusema tena vyama vya upinzani sio vya kuaminika.....bado ktk nchi yetu hatujapata vyama vya upinzani Imara na Madhubuti...
Mkuu walishapigwa stop na tume kuonekana wanaungana hadharani iliwa na wao wana mgombea. Hiyo ndio tekniki iliyokuwa imebaki. Akiongea kiongozi mkuu wa chama sisi wanachama tunaelewa na tutampigia kura TALTamko lake heading imebeba taswira ya kuwa hilo ni tamko la chama ila ndani anaongea on his own behalf.
CHADEMA are doing much better. Maamuzi yanaamuriwa na vikao na sio mtu mmoja akiongelea kutokea Kibirizi, Kigoma.
Safari ya Membe kurudi alipotoka sasa imekuwa fasttracked.