Kwani ana tofauti gani na kuhani wako mkuu?
Hata hapa sisi kuna tunaokushangaa kwa kusali kwa kuhani Musa kama ambavyo wewe unawashangaa waumini wa zumaridi. Sioni tofauti ya zumaridi na akina masanja na wengine wengi tu.
Na ana tofauti gani na wale wanaosema kila kitu katoa raisi?
Ndio ukweli huo kama wewe unavyowashangaa hata wewe tunakushangaaMwenyewe unaona umeandikaaaaa
Kumbe hata wewe mwenyewe huelewi umeandika nini🤣
Ukimpiga miti ndo uungu wake utaisha!?
Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.
View attachment 2679921
Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎
Inatisha, inasikistisha..... huyu heri angebakigi kulekule jela
pia ni shabiki wa michael jacksonHalafu anawafundisha kuishangilia Simba.
We endelea kula vumbiNitarudi kukujibu muda ambao utakua unayahitaji majibu
Sasahivi endelea Kula upepo
Zumaridi yupo sahihi,thibitisha kuwa yeye siyo MunguZamani watu kama hao tulikuwa tunawaita "MENTO" .
Madaktari mtibieni huyo Zumaridi ana matatizo ya Afya ya akili ,Mental Health is real.
We endelea kumwamini mungu wako wakike ambae anabanduliwaShida iko wapi unaweza thibitisha kwamba Zumaridi sio Mungu?
team nyeto si ndiyo wapeleka moto? Umeambiwa kapeleke moto kwa zumantoe hapo chap mie team nyeto
Hahahh tisha sana bigWe endelea kumwamini mungu wako wakike ambae anabanduliwa
kuunga vikojoleo kwangu mwikoteam nyeto si ndiyo wapeleka moto? Umeambiwa kapeleke moto kwa zuma
Ndugu yangu wewe hujaona juhudi? Tumeanza na Kitila kwanza tuone kama atatuvusha.......hahahaLa DP WORLD Unataka kulimalizaje☺, labda uweke wazi kama inafaa tushirikiane
We endelea kumwamini mungu wako wakike ambae anabanduliwa
Na uheshimiweUHURU WA KUABUDU
We baki na Mungu wako huko,mbona ye Zumaridi hawaingillii!?1 WAFALME 11:33
kwa sababu wameniacha mimi wakaabudu Ashtorethi, mungu mke wa Wasidoni, na Kemoshi, mungu wa Wamoabi, na Milkomu, mungu wa wana wa Amoni wala hawakuenda katika njia zangu, kutenda mema machoni pangu, kuzishika sheria zangu na hukumu zangu, kama Daudi baba yake.