Wakuu habari,
Nimekwama hapa kupata details za kutosha kuhusu haya mazungumzo ya Rais wa Marekani Donald Trump na aliyekuwa makamu wa rais Kenya Rigathi Gachagua
Wakuu
====
Ni kweli kuwa Rais wa Burkina Faso anataka kuidhinisha kiswahili kuwa lugha ya taifa badala ya Kifaransa? Msaada Kwa mwenye ukweli wa taarifa hizi??
Wakuu nimekutana na hiki kipande cha video kikimuonesha Hushpuppi akiwa amehudhuruia kwenye sherehe y Davido na anagawa pesa.
Taarifa hiyo inaeleza pia kuwa Hushpuppi alipewa ruhusa ya kuwa nje ya gereza kwa muda ili aweze kuhudhuria sherehe hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.