JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
  • Sticky
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992. 2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka...
103 Reactions
2K Replies
467K Views
  • Sticky
Wandugu, Thread hii ni mahususi kwa chochote unachokumbuka enzi unasoma shule ya msingi. Mimi binafsi nakumbuka enzi zile nasoma Issale primary school kule wilayani Mbulu miaka ya 1986-1991...
18 Reactions
460 Replies
92K Views
  • Sticky
~ Got chased by the headteacher and deputy head. A whole crowd of us in school uniform were in one area our school had forbidden to enter, otherwise could result in expulsion. Only 2 were caught...
55 Reactions
721 Replies
194K Views
  • Closed
  • Sticky
Kila jukwaa lina watu ambao wanakuwa ni members ‘zaidi ya wengine' tokana na mapenzi ya kila member. Katika majukwaa yote hili la CC limekithiri tabia za uchochezi na undumilakuwili kwa...
117 Reactions
91 Replies
86K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
319 Reactions
189K Replies
7M Views
Kitambaa Cheupe mnapazingizia tu. Pana wastaarabu sana. Izo sehemu mbili tajwa kwa level yangu ya dhambi, nimeona mengi sana.
33 Reactions
334 Replies
9K Views
Yaani ni makebo juu ya makebo, tena hadi mtu anakatakiwa usoni kabisaa sura haionekani😁 Ngoja niwahi nyumbani aissee
16 Reactions
42 Replies
1K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
136 Reactions
433K Replies
16M Views
The Weekend - Out of Time
31 Reactions
12K Replies
345K Views
Maisha yenyewe mafupi mke mrefu wanini? πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
4 Reactions
5 Replies
82 Views
Ngoja na sisi expert members wa JF tuanze kutanguliza initial za JEM kwenye majina yetu
22 Reactions
82 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi nitaenda na Fire Extinguisher na Gari la Zima Moto Nyie mtaenda na nini?
3 Reactions
24 Replies
143 Views
Kila mda ibadani mnatukemea sisi walevi mtuache bana sio kila mda kututajataja tunatumia hela zetu mtuache bana.
8 Reactions
47 Replies
268 Views
Bro be Private. Accept the loneliness and fix your life.
34 Reactions
148 Replies
2K Views
Usikae kinyonge Usisononeke. Maisha bado yapo na siku hazigandi. Unayopitia walishayapitia wengine wewe si wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho Pita hapa uone pia shuhuda za wengine Changamoto...
37 Reactions
494 Replies
40K Views
15 Reactions
376 Replies
4K Views
Kuna matukio ambayo yakikutokea unasahau kabisa stress za dunia na kujiona kama maisha ni matamu kuliko unavyofikiria. Mimi binafsi: *Nikipokea SMS ya muamala wa pesa kuingia. *Mwanamke akifika...
4 Reactions
43 Replies
309 Views
Hebu wape ushauri boda aliyebeba abiria na kioo chake!!
0 Reactions
3 Replies
91 Views
4 June 2026 at 10:05 p.m. And when you pray tonight, pray for forgiveness. Release the weight of old wounds and choose peace over pride. Ask God to soften your heart and remind you that healing...
15 Reactions
71 Replies
751 Views
Shoka lilipoenda msituni kukata kuni, miti ilisema kwa huzuni "mpini ni mwenzetu." Samaki aligundua hana urafiki na maji, pale yalipotumika kumpikia. Jogoo aliyewaamsha wenyeji, alichinjwa...
3 Reactions
3 Replies
68 Views
Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili. Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital. Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo...
15 Reactions
59 Replies
375 Views
Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yanguπŸ˜…πŸ˜… , haya ni maoni binafsi mno 🀣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui...
25 Reactions
139 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…