Kumekuwa na changamoto kubwa ya maji mkoa wa Mwanza haswa wilaya za Nyamagana na Ilemela. Baadhi ya maeneo hayajapata maji kwa wiki mbili na mamlaka kupitia idara yao ya huduma kwa wateja zinasema...
Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya...
Tunafanya kazi kampuni ya Kichina ipo Ilemela hapa Mwanza, tunajenga Soko Kirumba, kero yetu ni kuwa michango ya Hifadhi ya NSSF ni shida hatujawekewa tangu Septemba 2025.
Kazi ilianza tangu Mei...
Mimi kwa taaluma yangu ni mwalimu. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta ajira serikalini kupitia Ajira Portal. Nimekuwa nikifanya usaili mara kwa mara, napita hatua ya maandishi hadi...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetangaza kuwepo kwa upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na hitilafu ya umeme katika...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire amesema kuwa pampu sita kati ya nane zimewasili Nchini na kwamba tayari zimeanza...
Kama kinavyoonekana hiki ndicho Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo (eneo kwa ujumla linafahamika kama Nyamongo).
Changamoto yake
Ni...
Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati tatizo hili haraka iwezekanavyo.
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kuhusu bidhaa zinazouzwa kwa vipimo pungufu. Kwa mfano, mtu anaponunua...
Maeno haya yamekuwa na ukosefu wa maji kwa muda mrefu licha uwepo wa miradi mikubwa ya maji kuzunguka maeneo husika.
Hali hii inaathiri sio tu wananchi wa maeneo hao bali pia taasisi za elimu...
Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za...
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao...
OMBI LA UCHUNGUZI WA HARAKA KUHUSU IGUWASA
Tunaziomba Wizara ya Maji, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mheshimiwa Waziri wa Maji, Ofisi ya Waziri Mkuu, TAKUKURU na mamlaka nyingine husika kufanya...
Habari,
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa uongozi ndani ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC).
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wauguzi wengi kuhusu...
Ni takribani miaka mitatu tangu kuanza kwa utekelezaji wa Mradi wa Awamu ya Nne wa Barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi) katika kipande cha Mwenge hadi Tegeta (DAWASA). Hata hivyo, kasi...
YAH: MALALAMIKO YA KUTOLIPWA STAHIKI NA MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI – TEMESA KANDA YA ZIWA
Sisi watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi...
Habari zenu wakuu!!!
Naiomba wizara ya kilimo kupitia mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa Mbolea Tanzania, TFRA ijitokeze hadharani kuhabarisha zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ambao shughuli...
CHUO KIKUU CHA DODOMA KUNA NINI?
Tumepokea malalamiko kutoka kwa wanafunzi kadhaa walio tarajiwa kuhitimu masomo yao kati ya mwaka2023/2024 kwamba zaidi ya wanafunzi 400 wamekuwa Discontinued...
Hivi karibuni Wabunge wa Zanzibar ambao wanawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano walijichanga na kutaka kutoa zawadi kwa Wananchi wa Pemba, ambapo waliandaa nyama.
Nyama hiyo iliingizwa...
Kuna zoezi la ukamataji wa Pikipiki na Bajaj linaloendelea mjini, lakini utekelezaji wake unaacha maswali mengi. Baadhi ya wanaotekeleza zoezi hilo wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.