Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma, wadau, wanafunzi, vyuo na taasisi zote zinazohudumiwa na Baraza kuwa, kwa sasa linakabiliwa na...
KERO: HALI YA MIUNDOMBINU YA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. AUGUSTINE (SAUT), MAIN CAMPUS MWANZA
Ninaomba kuwasilisha kero inayotukabili wanafunzi wa degree katika Chuo Kikuu cha St. Augustine...
Toka mwezi wa tano watu wanaomba umeme lakini hakuna surveyor kuja kuangalia wiring na kutoa control namba. Ukijaribu kuuliza hupewi ushirikiano kabisa. Sasa mtu unajiuliza hawa jamaa wana shida...
Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za...
Wakati Dunia ikibadilika kwa kasi kwa kujali muda zaidi na kupunguza kutumia muda mwingi kufanya jambo fulani, taasisi nyingi za umma bado ziko zama za mawe.
Ndugu zangu hawa wa Mwauwasa, wanadai...
Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa...
Mfumo mpya wa BRELA (BOS) unasumbua sana, mtu akitaka kupata huduma mbali mbali kupitia mfumo huo, anapewa ujumbe wa "an unexpected error occurred. Please try again". Muda mwingine wanakuambia...
UFAFANUZI KUHUSU HOJA YA MADAI YA FIDIA YA MAZAO KATIKA ENEO LA UJENZI WA MNARA WA TTCL – KIBITI
Kufuatia hoja iliyowasilishwa kupitia mtandao wa JamiiForums yenye kichwa cha habari “TTCL...
Hoja ya awali ~ Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET
YAH: UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA WANAFUNZI KUTOPANDISHWA KWENYE MFUMO WA NACTVET
TAREHE...
Hali ya maji katika Jiji la Mwanza inazidi kuwa mbaya! Mfano ni Nyegezi, ambako mitaa mingi imekaa takribani mwezi mzima bila maji. Hata mgao uliokuwepo umetoweka! Baadhi ya wananchi wanalazimika...
MWANZA: MAJI HAKUNA, VISingizio HAVIISHI!
Hali ya maji na umeme Mwanza inazidi kuwa tete. Suala la maji limekuwa na siasa nyingi kuliko utendaji!
Wiki iliyopita, Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa...
Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli?
Hadi hivi leo maji...
Mtaa wa Chungurira, Kata ya Tangasisi, Wilaya ya Tanga Mjini, Mkoa wa Tanga. TANESCO walitueleza kuwa wanapitisha umeme wa REA, hivyo wananchi tukafanya wiring na fittings kwa kukopa fedha...
Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika.
Taarifa ya Ufafanuzi...
Huu ni Waraka kutoka kwa katibu mkuu.
Hii iwaendee Supervisors Maafisa utumishi HR na Wakurugenzi malalamiko yetu watumishi ya kucheleweshwa kwa maombi ya uhamisho sasa yamemfikia mh.
KATIBU...
Katibu Msaidizi - Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Zanzibar, Selemani Chihembe akitoa ufafanuzi juu ya sababu za kuzuiwa waombaji ajira wenye elimu ya juu kuomba nafasi...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za intaneti nchini kurekebisha kasoro katika uwekaji wa nyaya za mawasiliano za mkongo wa nyuzi za macho (fibre optic cables) ndani ya...
Wananchi wa Kata ya Busenga, Wilaya ya Ilemela, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Maji hayatoki, hali inayotulazimu kununua ndoo moja kwa...
Pamoja na salamu, napenda kutumia fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa viongozi na mamlaka zote husika za Halmashauri ya Wilaya ya Urambo, Mkoani Tabora.
Hoja iliyopita ~ Fedha za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.