Mganga Mkuu wa Manispaa ya Singida, Dkt. Godfrey Andrew ameeleza kuwa Halmashauri ya Manispaa hiyo imetenga fedha kiasi cha Tsh. Milioni 800 kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya maboresho ya...
MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA
29 Septemba, 2026
YAH: GHARAMA YA MAEGESHO YA MAGARI KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA)
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA)...
Muda mfupi baada ya kusambaa kwa andiko la Mdau akielezea tuhuma zinazohusu Chuo Kikuu Huria (OUT) kwamba kuna baadhi ya Wahitimu wamefoji matokeo na vyeti, ufafanuzi umetolewa na chuo hicho...
Nimeona fursa ya kufanya shughuli za biashara katika eneo la Igalula, Sengerema, hasa kutokana na uwepo wa shughuli za Nyanzaga Mining, hivyo nikafungua Pub kwa lengo la kujiajiri na kuendesha...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu madai ya kutokuwepo kwa dawa ya Trastuzumab, inayotumika katika matibabu ya baadhi ya wagonjwa wa...
Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa.
Soma: Mufindi...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Miguel Gamondi, amesema uwepo wa wachezaji 12 wa kigeni katika Ligi Kuu ya NBC unapunguza nafasi kwa wachezaji wazawa kupata muda wa kucheza na...
Septemba 22, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?”
Katika maelezo yake Mdau aliendelea kueleza kuwa “TRC...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza waajiri kuhakikisha wanatenga bajeti ya kulipa stahiki za waajiriwa wapya kabla ya...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu madai yaliyachapishwa katika mitandao wa kijamii hususani mtandao wa Jamii Forum kuhusu urejeshwaji wa fedha ya ada iliyozidi...
Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu.
1. Tandika Sokoni,
2. Temeke Sudani,
3. Temeke...
Hapa Moga na Bunju Beach umeme unakatika kila siku asubuhi na kurudi jioni, mfano Septemba 18, 2026 walikata Saa 4 Asubuhi na kurudisha kama Saa 8 mchana lakini huwa mpaka saa 1 Jioni huwa ndio...
Waziri Katambi, salama!
Naomba nikufikishie kilio cha sisi madereva wa Bajaj ambao tunatafuta riziki kwa kuendesha vyombo hivi. Kuna baadhi ya Watu wanaojiita “voice” ambao wamekuwa...
Wakuu kuna hii video inako mtandaoni sijajua ni ya lini ila kwa kweli imenihuzunisha sana kwa matendo ya kikatili ambayo wanayapitia hawa Wananchi, na ninadhani huu ni ujumbe mkubwa kwa wenye...
MPOGOLO: ATAYETUPA UCHAFU JIJINI DAR FAINI LAKI 3 HADI MILIONI 1 AU KIFUNGO CHA MIEZI 12–24
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema mtu atakayebainika kutupa taka hovyo jijini Dar...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram muda mfupi baada ya kuchapishwa kwa hoja ya Mdau...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi sababu za serikali ya Tanzania kupitia wizara kuendelea kujenga viwanja vya...
Baada ya mdau kulalamikia tatizo la maji kutitirika katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imefanya maboresho katika mfumo wa Ajira Portal kuwezesha upatikanaji wa taarifa za matokeo ya usaili wa mahojiano ya ana kwa ana (Oral...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.