Responded Threads

Anonymous
KERO Responded 
Wakusanya malipo ya maegesho (parking), kwa kuvamia kando ya barabara na kuanza kukusanya malipo wamekuwa kero sana na mara nyingi wamekuwa wakiona ufahari kusumbua wenye magari. Hii hali ina...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mawele
Responded HOJA 
Ushauri uliotolewa kwamba bandari kavu ziondolewe katikati ya Dar es Salaam na shughuli za kuhifadhi pamoja na kusambaza mizigo zielekezwe zaidi katika Bandari Kavu ya Kwala, mkoani Pwani...
2 Reactions
1 Replies
129 Views
ANT DRUGS
KERO Responded 
Ni mwezi sasa Wilaya ya Nyamagana, maeneo ya Igoma, Machinjioni, Muhandu-Kisiwani, hatuna maji. Binafsi nimechukua hatua ya kuwapigia simu, wanasema machine ya ku-pump maji ya Mabatini...
0 Reactions
9 Replies
127 Views
Anonymous
KERO Responded 
Mtaa wa Mayengela uliopo eneo la Kishiri-Igoma, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza tuna kero yetu ambayo imekosa ufumbuzi kwa miezi kadhaa sasa. Tangu Machi 2026 hadi sasa hivi Agosti 2026 ni...
4 Reactions
14 Replies
228 Views
Fascinating
Responded HOJA 
Wakuu nadhani wengi mmeiona hiyo clip inayozagaa huko mitandaoni, ikionesha vyombo vya dola vikishirikiana na mamlaka ya kudhibiti vyakula na Dawa nchini Rwanda (FDA) kakita opareshi maalum ya...
9 Reactions
23 Replies
473 Views
seneni
KERO Responded 
Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na maeneo mengine ya jirani, tumekosa maji kwa takribani mwezi...
1 Reactions
3 Replies
84 Views
Anthony Yusi
KERO Responded 
Wakazi wa Nyamhongolo (Nyangugano) sasa tunapitia shida kubwa ya maji kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Tangu 27/7/2026 mpaka leo 13/8/2026...
1 Reactions
11 Replies
149 Views
Anonymous
KERO Responded 
Wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu, wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata maji, na mara...
0 Reactions
2 Replies
133 Views
BOB LUSE
Responded HOJA 
Mabasi yapo Maeneo Mengi ya Dar kwenye ofisi zao Binafsi ili kuturahishia Maisha.sio chanzo cha Foleni! Shida ni Yard na Maloli kila kona, Mkuu wa Mkoa aelekeze nguvu zake kwenye Malori na Dry...
10 Reactions
42 Replies
410 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Najihusisha na Uwakala wa nishati ya gesi ya kupikia, ipo hivi... kumekuwa na changamoto ya mitungi mingi inakuja kwetu Mawakala ikiwa na leakage yaani inavujisha gesi na ukiwarudisha kwa Wakala...
4 Reactions
15 Replies
396 Views
Mwanongwa
DOKEZO Responded 
Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu. Pia soma: ~ Halmashauri ya...
1 Reactions
12 Replies
472 Views
Kadhakan
Responded 
Ndoto ya Watanzania kumiliki nyumba imeendelea kukumbwa na changamoto kutokana na kupanda kwa gharama za vifaa vya ujenzi, hali inayotajwa kuongeza uwezekano wa kupanda kwa kodi za nyumba...
2 Reactions
11 Replies
250 Views
Anonymous
KERO Responded 
Tunaomba kuwasilisha kero ya umeme hafifu inayotukabili wakazi wa Mtaa wa Kidugalo, Kata ya Chanika. Kila siku kuanzia majira ya saa 12 jioni, umeme hupungua nguvu kiasi kwamba vifaa mbalimbali...
4 Reactions
6 Replies
380 Views
Anonymous
KERO Responded 
Natokea Tabora Manispaa, Kata ya Mpera, Mtaa wa Malabi.. Tumekuwa na shida ya umeme ya muda mrefu ambayo haipatiwi ufumbuzi. Ndani ya siku 7 za week kuna siku 4 hadi 5 lazima tuwe hatuna...
2 Reactions
2 Replies
292 Views
Anonymous
KERO Responded 
Naomba kufikisha kilio chetu kuhusu haki ya mafao yetu ya NSSF. Sisi ni wafanyakazi tuliokuwa katika Kituo cha Huduma kwa Wateja (Call Center) cha TANESCO, tulioajiriwa kupitia Kampuni ya EROLINK...
3 Reactions
18 Replies
500 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kero kubwa ya kukatika umeme na kuwa gizani ikifika Saa moja usiku, Mtaa wa NALA SHULE YA MSINGI hapa Dodoma, kila tukiuliza majibu ya wahusika ni kwamba umeme mdogo. Je, huduma tunayolipia sisi...
1 Reactions
4 Replies
347 Views
Anonymous
KERO Responded 
Hawa Askari wamekuwa waonevu na wametengenezewa kichaka cha kula Rushwa kupitia kazi ya kukamata Bajaj na Bodaboda wasio na Vituo, hata ukisimama dukani unanunua kitu emergency wanakukamata...
6 Reactions
11 Replies
335 Views
Anonymous
KERO Responded 
Wananchi tunahitaji ufafanuzi kuhusu nguvu na utendaji wa Mgambo wa Jiji, hususan katika eneo la Kariakoo, wakidai kuwa kumekuwa na ukamataji wa mali za wananchi unaosababisha kero kubwa. Baadhi...
0 Reactions
3 Replies
177 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule...
0 Reactions
3 Replies
350 Views
Anonymous
KERO Responded 
Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria...
2 Reactions
5 Replies
250 Views
Back
Top Bottom