Responded Threads

Wakazi wa Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wakizungumzia hoja ya kuzorota kwa hali ya ulinzi na usalama katika eneo hilo. Diwani wa Kata ya Ilemi, Baraka Zambi pamoja na viongozi wa serikali za mitaa...
0 Reactions
2 Replies
98 Views
iskariote04
KERO Responded 
Sielewi kinachoendelea kuhusu mgawo wa umeme katika eneo letu. Hadi leo hii, maeneo yote yanayozunguka Mtaa wa Igumu yana umeme, lakini kijiji chetu bado hakina umeme. Inashangaza kuona maeneo...
1 Reactions
6 Replies
116 Views
Fundiumemetz
KERO Responded 
Dumila Morogoro kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme,ni vyema wahusika wakachukua hatua za haraka kumaliza kabisa changamoto hii. UFAFANUZI WA TANESCO KUHUSU HOJA HII UKO HAPA...
4 Reactions
9 Replies
179 Views
Anonymous
KERO Responded 
Mkuranga, Pwani tuna tatizo la umeme unakatika mara kwa mara, ahadi ya TANESCO kushughulikia haijatimia. Mkuranga, Pwani umeme unakatika mara kwa mara, kila baada ya muda mfupi. TANESCO walisema...
2 Reactions
3 Replies
743 Views
Baada ya andiko la Mdau alilozungumzia Huduma ya Faiba kutoka TTCL, andiko hili hapa ~ TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti Ufafanuzi umetolewa...
0 Reactions
8 Replies
330 Views
Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema ufungaji holela wa nyaya za mawasiliano katika eneo la Kariakoo na baadhi ya maeneo mengine ya Jiji la Dar es Salaam unaathiri mandhari ya Jiji...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa...
1 Reactions
6 Replies
153 Views
DodomaTZ
KERO Responded 
Hali ya vyoo katika Chuo Kikuu cha UDOM, hususan katika College of Natural and Mathematical Sciences (CNMS), imezidi kuwa mbaya kwa kiwango kinachotia wasiwasi mkubwa. Kwa zaidi ya mwezi mmoja...
1 Reactions
10 Replies
471 Views
immortanity
KERO Responded 
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo . Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa ...
4 Reactions
6 Replies
416 Views
Anonymous
KERO Responded 
Haiwezi isha siku moja bila kukatiwa umeme hapa Wilaya ya Masasi, kila siku wana matengenezo, hawajali kama ni siku za kazi au siku za kiuzalishaji zinaendelea, Tunaweza kaa bila umeme siku 3...
1 Reactions
6 Replies
457 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameagiza mzabuni aliyewauzia meza Machinga wa Manispaa ya Temeke kwa bei ya juu arudishe pesa alizozidisha, ameyasema hayo leo Oktoba 7, 2026. Pia...
0 Reactions
2 Replies
237 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000. Sasa nashangaa, hivi...
22 Reactions
251 Replies
3K Views
wa stendi
Responded HOJA 
Kuna mazingira unakuwa unashida au huwezi pata huduma labda ya kuweka hela kwenye simu wakati huo unauhitaji labda wa kumunua units (LUKU) hadi unalazimika kulala giza au kushindwa kufanya kazi...
7 Reactions
26 Replies
570 Views
Anonymous
KERO Responded 
Sisi tulikuwa wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika Mradi wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP) Rufiji, tukiwa tumeajiriwa kwa mkataba kupitia STE. Tunaomba...
3 Reactions
27 Replies
590 Views
Anonymous (29d6)
Responded 
Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi...
1 Reactions
1 Replies
93 Views
Mawele
Responded 
Wafanyabiashara wawili pamoja na mitungi zaidi ya 451 ya gesi ya kupikia wanadaiwa kukamatwa katika operesheni iliyofanywa jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za uchakachuaji na kupunguza ujazo wa...
2 Reactions
6 Replies
212 Views
DogoWaNjombe
DOKEZO Responded 
Kwa nyakati tofauti Serikali na wadau mbalimbali wamesikika majukwaani wakihamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kulinda mazingira, kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi na...
3 Reactions
10 Replies
347 Views
Jumanne Mustapha
KERO Responded 
Wakazi wa Kimara Temboni, eneo la Arsenal, tunaomba kupaziwa sauti kuhusu tatizo la umeme linalotukabili kwa muda mrefu. Transfoma iliyopo katika eneo hili ni ndogo na inahudumia zaidi ya kaya...
1 Reactions
2 Replies
184 Views
Anonymous
KERO Responded 
Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo. Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na...
1 Reactions
8 Replies
371 Views
Back
Top Bottom