Watumishi wa Idara ya Radiology ni idara pekee hawalipi extra duty, unapangiwa roaster unasoma extra duty asubuhi hadi saa mbili usiku lakini haulipwi. Kinachouma ni kwamba muda wako wote wa...
Wakazi wa Kijiji cha Bwisya, Kata ya Ukara, Wilaya ya Ukerewe, tuna changamoto mbili kubwa, kuna Kampuni inaitwa JUMEME inayotoa huduma ya umeme wa jua (solar system). Wakati inaanza huduma...
"Tunapogundua magari yanasababisha usumbufu, tumeanza kuyafungia ving'amuzi. Kwa kuwa tunaanza kwa awamu, tutaanza na daladala zote zitakazobainika kukiuka masharti ya leseni zao."
Hayo yamesemwa...
Rafiki yangu anaitwa Warioba Josephat Butiku, sote ni Wakazi wa Butiama, Mkoani Mara, juzi alishambuliwa na watu kadhaa kutokana na masuala ya mifugo, alienda kuchukua mifugo sehemu fulani...
Habari za wakti huu ndugu zangu wa BRELA
Kwanza kabisa niwaulize hivi Call centre yenu iko Busy sana au wafanyakazi wachache au vyote kwa pamoja maana kasi yenu ya kupokea simu na kushughulikia...
Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026.
Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma...
Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa...
Nimewasilisha maombi ya Umeme TANESCO, Wilaya ya Ilala DSM, Kituo Chanika kutoka mwezi wa 5/2026, Surveyor akaja siku chache baadaye na nikaambiwa nisubiri siku 7 au 14 za kazi tangu alipofika...
Nimesukumwa kuandika simulizi haya kwa uchungu na masikitiko makubwa baada ya kukumbana na mkasa wa kuibiwa vifaa vyangu vya kazi ndani ya treni mpya na ya kisasa ya mwendokasi (SGR), huku...
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, huku kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano.
Hii ni kero, tumejaribu...
Naomba ushauri na kueleweshwa kutoka kwenu wana-JamiiForums wenye uzoefu au uelewa wa masuala ya umeme ukinunua nguzo (TANESCO). Ninaishi Katoro eneo ambalo naishi kwa muda mrefu halikuwa na...
Kila siku asubuhi natumia usafiri wa daladala kutoka Igawilo kwenda katikati ya mji, jijini Mbeya. Kero kubwa tunayokumbana nayo ni baadhi ya daladala kutokufuata njia zilizoandikwa kwenye vibao...
Makondakta wa daladala wamekuwa wakitoza nauli isivyo maelekezo kwa kigezo cha kukosa Sh 100 au Sh 200 na kusababisha kukata nauli ya juu endapo tu abiria hana chenchi kamili hiii ni kero hasa wa...
Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya...
Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, tunaomba msaada wa Mkuu wa Mkoa kufuatia ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru...
Mimi ni mtumishi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [JKCI], taasisi hii inatupa wakati mgumu watumishi wake kupitia bosi wetu,
Lakini kabla ya kufika kwa bosi kubwa, kuna watu hapo chini yake...
SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU.
Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika...
Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya...
Naomba kufikisha kilio chetu kuhusu haki ya mafao yetu ya NSSF. Sisi ni wafanyakazi tuliokuwa katika Kituo cha Huduma kwa Wateja (Call Center) cha TANESCO, tulioajiriwa kupitia Kampuni ya Erolink...
Habari wadau,
Kwanza napenda kuipongeza Serikali kwa kutuletea huduma ya umeme kupitia mradi wa REA katika Kijiji cha Mwalugulu, Kata ya Mwalugulu, Halmashauri ya Msalala.
Kijiji cha Mwalugulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.