Chiku alikuwa aenda hotelini jioni waonane ili Afande ampe zawadi kutoka kwashangazi yake Bongo.Chumbani kwa Akande Manyota Hotelini. Afande Manyota anamngojea Chiku kwa hamu. Chiku anabisha hodi mlangoni chumba (suite) namba 610: Chiku:
(Taratibu kwa sauti ndogo) Hodi!AM: Karibu!Afande...