askari

An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Sirro: Sitosahau Askari walipopigwa risasi Kibiti

    IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro baada ya kuagwa rasmi na Jeshi la Polisi leo Dar es salaam amesimulia tukio ambalo hatolisahau akiwa kazini ambalo amesema ni la Askari Polisi kupigwa risasi na Majambazi baada ya kushambulia kwa risasi gari la Polisi katika Kijiji cha Uchembe, Kata ya Mjawa...
  2. Uganda: Askari Polisi wakamatwa wakituhumiwa kuwaibia wezi

    Jumla ya Askari Polisi 10 wamekamatwa Jijini Kampala baada ya watuhumiwa wa wizi waliokamatwa na askari hao kudai kuwa kiasi cha pesa kilichotangawa kuwa kimerejeshwa hakifiki hata nusu ya nusu ya walichoiba wao. Inadaiwa kuwa wezi hao waliiba Dola 110,000 (Tsh. Milioni 258.1) na Euro 700 (Tsh...
  3. Wajir: Askari Wanyamapori waua raia wawili kwa risasi, wananchi walipuka

    Mtu mmoja Ijumaa alidaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi baada ya maandamano kuzuka katika mji wa Wajir. Maandamano hayo yalizuka baada ya maafisa wa Shirika la Huduma ya Wanyamapori (KWS) kudaiwa kuwaua watu wawili wanaoaminika kuwa wawindaji haramu Alhamisi jioni. Mauaji hayo...
  4. M

    Heko mbunge Katani kwa kutetea ajira za wahifadhi & Askari wanyamapori

    Wasalaam , Hongera mhe Mbunge kwa kutetea tatizo kubwa la ajira hapa nchini hasa ktk Wizara ya Maliasili wakati akichangia Wizara ya Utumishi & Utawala Bora kwamba tatizo la ajira nchini limekuwa janga kubwa ambalo viongozi na watawala wamekuwa hawalipi uzito na umuhimu wake na hasa kigezo cha...
  5. Askari wa SMZ adaiwa kunaswa akisafirisha dawa za kulevya

    Askari wa moja ya vikosi vya Ulinzi na usalama vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Juma Abdalla Khamis (34) amekamatwa akiwa na vifuko 31 vikiwa na kete 3,198 zinazodhaniwa kuwa dawa za kulevya aina ya Heroin. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya...
  6. G

    Nimemgombeza askari wa usalama barabarani, wenzake wameniomba msamaha

    Ni kituo cha mabasi cha mawasiliano. Wako maaskari wengi lango wa kuingilia, kila gari linaloingia linasimamishwa na kuchukua hela kwa konda. Bahati nzuri nikashuhudia askari wa kike akipokea hela, nikamfuata na kumweleza nichokiona, akanijibu vibaya. Nikatishia kuchukulia hatua zaidi lakini...
  7. M

    Picha: Askari wa akiba akionyesha ukakamavu.

  8. Walimu na Askari Polisi mnajidharirisha sana

    Zamani nilikuwa najua kuwa walimu ni kioo Cha jamii,kumbe nilikuwa najidanganya huenda ni kwasababu nilikuwa mtoto kipindi hicho au kwasababu walikuwa watu wa karibu yangu kwasababu nilikuwa mwanafunzi na niliwachukulia kama watu waliofanikiwa zaidi katika jamii. Leo nashuhudia mengi kutoka...
  9. Tarime: Askari Polisi ashikiliwa akidaiwa kumuua dereva bodaboda kwa risasi, RPC asema Askari anastahili kuwajibika

    Jeshi la Polisi linamshikilia askari wake mwenye utambulisho wa H 4489 PC Kululetela, kutokana na kosa la kumfyatulia risasi iliyomjeruhi hadi kumsababishia mauti mwendesha bodaboda, Ng'ondi Marwa (22), mkazi wa mjini Tarime. Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Polisi Tarime Rorya, ACP Geofrey...
  10. Askari aliyejeruhiwa kwenye Maandamano ya Raila Odinga afariki dunia

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Kisumu, Alphonse Wambua amesema Koplo Ben Oduor, alikimbizwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan saa 10 jioni na kufariki wakati akipata matibabu. Afisa huyo kutoka katika Kituo cha Polisi cha Keroka katika Kaunti ya Nyamira...
  11. Kwahiyo Askari wetu walikuwa ni watazamaji tu au?

    Baadhi ya askari kutoka nchini Marekani wakihitimisha jukumu la ulinzi katika uwanja wa ndenge ya Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, baada ya Makamu wa Rais wa nchi hiyo Kamala Harris kukamilisha ziara yake ya siku tatu hapa nchi. Kamala Harris amefanya ziara nchini Tanzania, ikiwa ni...
  12. DOKEZO RPC Mara,OCD Wilaya ya Bunda tupieni jicho askari hawa,wanaharibu taswira ya jeshi la polisi...

    Wasaalam wanajamvi naendelea na namna maskari Eli eli, afande zawadi na mgambo ajulikanae kwa jina Samwel wanavyoharibu sifa nzuri ya jeshi la polisi wilayani Bunda. Huyu mgambo ambaye vijana wa mjini wanamuita "Mundu" wa afande li eli kapewa mamlaka ya kutembea na pingu ambazo amekuwa...
  13. Polisi anayepokea rushwa tabia hiyo ametoka nayo kwenye malezi

    ''Askari ambaye anapokea rushwa hiyo tabia ametoka nayo kwenye malezi na wananchi ndio wamekuwa wakichochea polisi kuchukua rushwa'' - Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime Je kweri wananchi ndo wanachochea polisi kuchukua rushwa.
  14. DOKEZO RPC Mara, OCD Bunda chunguzeni mienendo ya Askari hawa, wanachafua sifa ya Jeshi la Polisi

    Kwanza nianze kwa dhati kuwapongeza RPC Mara, OCD, OCS na OCs Bunda kwa kazi nzuri ambapo ushirikiano wao umeufanya mkoa wa Mara kuwa eneo tulivu na salama. Bunda kwa sasa ni eneo ambalo watu wanaweza kutembea usiku mnene pasipo hofu. Pongezi pia kwa maafande Amos-kitengo cha cyber, Afande...
  15. Askari anayetuhumiwa kuingiliwa asomewa mashtaka, akana sio yeye kwenye video

    ALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili. Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai, Mwendesha Mashtaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, Muhammed Saleh, alidai mahakamani kuwa...
  16. K

    Askari wa wanyamapori wanaona mifugo ila majangili hawaoni

    Inasikitisha kuona nyara za serilkali zinakamatwa ikiwa tayari zimevunwa, iki maanisha wanyama wameshauwawa nyama, ngozi na pembe zao kunyofolewa. Najiuliza, ng'ombe wa wafugaji wanaingia porini kimyakimya lakini wanawasikia na kukamata, majangili wanaingia kwa magari yenye mingurumo na kuuwa...
  17. Askari Wanawake Mbeya watoa zawadi ya taulo za kike, sabuni na vifaa vingine kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Askari Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Afisa Mnadhimu namba moja Mkoa wa Mbeya ACP Christina Musyani, Machi 06, 2023 amewaongoza Askari Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya kuwatembelea na kutoa zawadi kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi zilizopo katika...
  18. Askari polisi wafariki ajalini Msoga

    Ajali imetokea leo alfajiri katika eneo la Mavi ya Ng'ombe kwenye Kijiji cha Mboga, Kata ya Msoga baada ya gari iliyokuwa imebeba maafisa wa polisi aina ya Toyata Crester yenye namba za usajili T.323 BAL iliyokuwa ikiendeshwa na Mkaguzi msaidizi wa Polisi, Ndwanga Dastani (28) aliyekuwa akitokea...
  19. Amber Ruty na Davil walifungwa kwa kosa sawa na la huyu askari wa zanzibar iweje leo Serikali kimya?

    👤hatua gani imechukuliwa kwa askari huyu aliyevujisha video chafu na kuridharirisha Taifa , kibaya zaidi ni kiongozi wa serikali. 👤 Tunaomba ufafanunuzi, Amber Ruty na mmewe walifungwa kwa kosa kama ili la askari alolifanya .
  20. M

    Jeshi la Polisi kuchunguza Askari anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Kamishna Hamad alitaja sababu tatu za kutokukubaliana na tendo hilo ndani ya polisi; kinyume cha sheria, maadili na linalomwondolea ukakamavu askari. Kutokana na mkasa huo, Kamishna Hamad aliyeonekana kukereka nalo, aliiambia Nipashe kwamba ofisi yake ina mpango maalum wa kuwasaka askari wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…