Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na wamelalamika sana kwa uongozi lakini suala hili halitatuliwi, hapo kwenye video wananchi wanalalamika...