Habari
Hii hapa ni list ya video vixen waliowahi kutamba zaidi Tanzania tangu nimejua ABC kuhusu muziki..
1. Binti kiziwi by z Anto
2. Tinda tine; msanii simjui ila ni mganda na ndo mwenye wimbo yule dada alitupeleka mbio sana kwenye swala la kuchagua wadada wazuri, mtifuano ulikuwa kati ya huyo...