binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwauwasa sisi ni binadamu sio ngamia

    Inasikitisha Sana kwa Ukanda Wa Pembezoni Mwa Ziwa Viktoria Kuwa na Tatizo sugu La Huduma ya Maji, Mkoa Wa Mwanza Imekua Si Changamoto tena imekua Kama ni Wajibu wa Wananchi Kukosa Huduma Hii Muhimu Kwa Wiki kadhaa au Miezi,Bahati Mbaya Hakuna Taarifa zinazotolewa Wazi kwa Umma Kama kutakua na...
  2. JamiiForums Tanzania ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  3. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Samia Suluhu wangemuiga Hussein Bashe, wasingekuwa wanamwaga damu ya Binadamu

    Kinacho sababisha watu kuteka binadamu, kuua ni Umasikini. Yaani Matajiri wanatumia pesa zao kuwapa Masikini ili wamwage damu za masikini wenzao na hao Masikini wanaoua wenzao, wanajisifu kwa kumwaga damu ya Binadamu fukara mwenzao ili kumfurahisha Mtawala/ tajiri alowatuma. Yaani masikini...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mwili wa binadamu nao unahitaji service kama gari?

    Nimejikuta Niki cheka sana baada ya kuona clip moja mtandaoni... Massage 💆 za wa Thailand 🇹🇭 zinachekessha sana Hawa wamama mpaka wana vinyundo wanakuwa wanagongelea Sehemu zenye ukakamavu dah.. 😂 Yaani inataka kugeuka kuwa yoga ya lazima... Ni kasheshe sasa hapo hata kufikiria mambo mengine...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lisu kuamua kujidhuru na kujiangamiza mwenyewe kwa njaa kabla ya hukumu yake, ni kutafuata umaarufu na public sympathy isiyo na tija

    Kwasababu kwa kawaida, mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe. Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Voyager 1: Chombo cha binadamu kilichosafiri mbali zaidi angani

    Chombo cha anga cha Voyager 1, kilichozinduliwa na Shirika la Anga la Marekani (NASA) mwaka 1977, kinaendelea kushikilia rekodi ya kuwa chombo kilichotengenezwa na binadamu kilichosafiri umbali mkubwa zaidi kutoka Duniani. Chombo hicho kimevuka mpaka wa eneo linalotawaliwa zaidi na upepo wa Jua...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  8. JamiiForums Tanzania Nani mkubwa kati ya binadamu na malaika?

    Nani mkubwa na wa hadhi ya juu kati ya binadamu na Malaika ? Nani ana maisha mazuri zaidi kati ya binadamu na malaika?
  9. JamiiForums Tanzania Lissu ateuliwa kushindania tuzo ya haki za binadamu. Aibu kwa Samia na washauri wake

    Akishinda Samia na genge lake watapata aibu kubwa.👇
  10. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na CHAPUTA ili nione kama nitarudi kuwa binadamu tena

    Niliwaza vitu vingi kabla, baadhi ya vitu hivyo ni kupoteza pesa kwa ajili ya kuhonga na kuhudumia, kuteseka na wasiwasi na maumivu yasiyo kifani, wivu wa hapa na pale pamoja na ugumu wa kutengeneza mahusiano mapya. Hivyo nikaachana kabisa na suala zima la mapenzi. Lahaula! kumbe nilijidanganya...
  11. JamiiForums Tanzania Ina maana Watanzania tumeshaukubali upoteaji wa binadamu kama upoteaji wa funguo?

    This is so weird to me. Why are we normalizing the disappearance of whole human beings? Wanapotea watu wazima kabisa na familia zao halafu jamii nzima ni kama imekubali tu acha wapotee! Coverage kwenye vyombo vya habari, hakuna. Tungekuwa na responsible media kungekuwa na continuous...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga kukaa kimya na kutopiga promo tayari machawa na wachambuzi wanaumia na simba pia, je mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?

    I salute you kinsmen Yanga kama wageni wa mechi ya kesho. Na simba kwa wageni Sasa SIMBA ndio walitakiwa kupigia promo.game yao sio yanga Kimsingi mwanzo ilikuwa sawa hadi pale simba walipoanza utoto huo na sasa yanga wamelipa hilo na milio ya kubanwa kende imeanza tayari kutoka kwa machawa...
  13. JamiiForums Tanzania Asili ya binadamu haijifichi. Harmonize kafanana sana na Mkapa.

  14. JamiiForums Tanzania Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

    Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ? Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu. Nawasilisha Nawasilisha.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
  16. JamiiForums Tanzania THBUB yapokea maoni kwa Waombaji Nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Makamishna na Makamishna Wasaidizi

    TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
  17. JamiiForums Tanzania Binadamu ni wakatili sana

    Mtu anauliwa kwa kukatwa kiungo kimoja kimoja kweli? 🥹 kwanini watu wengine hawana roho ya ubinadamu asee?
  18. JamiiForums Tanzania Wakili Mpoki: Katiba mpya ni msingi wa kulinda haki za binadamu

    Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini Tanzania. Mpoki, ambaye ameshiriki katika kesi mbalimbali zilizogusa haki za binadamu, uhuru wa kujumuika...
  19. JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Antipas Lisu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa hadharani lazima vita itatokea Tanganyika.

    Lisu ni Icon ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
  20. JamiiForums Tanzania Hili gari lingekuwa binadamu ingekuwa ngumu sana kulitetea kama ilivyo kwa single mothers.

    Gari ambalo linazidi kupoteza kuaminika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…