bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Hizi ndio akili za bodaboda

    Wakuu tunajua bodaboda wanatusaidia sana kwa usafiri wa uhakika lakini ukitaka kupanda boda kwanza angalia umri wake, wapo bodaboda ambao ni smart kidogo, ila hawa vijana wanyoa viduku Dah? Ukipanda mwambie akuendeshe kwa speed ya polepole, umpe masharti kabla hujapanda hiyo bodaboda yake...
  2. Bodaboda wanapataje leseni maana ajali kwao fasta

    Hivi bodaboda wanapataje leseni, maana uendeshaji wao upo rough sana mpaka unajiuliza huyu mtu amesoma sheria za barabara, Kwa namna moja au nyingine hii ndio sababu kubwa sana ya bodaboda nyingi jijini Dar es Salaam kupata Ajali. Mtu yupo kwenye foleni ila anakimbiza pikipiki balaa, mara...
  3. Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

    Unaweza jiuliza kwenye 'lane' hiyo alifata nini ila unaweza kosa majibu ya haraka.
  4. Heri ununue nyavu kuliko bodaboda

    Nyavu ya inch 3 au 5 ukiinunua mpya ni kama million 1 hivi ambayo maliasili hawatakusumbua, chombo ni ngalawa ambayo ni kama laki 2. Ukimpata baharia mzuri akasimamia na wavuvi wake 10 kazi ikafanyika una asilimia 25 ya mauzo. Mfano imepatikana 100000 basi yako ni 25000 ➕ samaki wa mboga na...
  5. Video: Pamoja na lawama kwa bodaboda, kwanini Junction ya mwendokasi Kisutu haijawekwa taa za kuongoza magari mpaka leo licha ya kuwepo ajali nyingi?

    Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona...
  6. Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

  7. Bodaboda, vifo vingine mnajitakia!

    Hawana helmet! Wanajipenyeza katikati ya matairi! Mtu hajihurumii, kwa nini nimhurumie?
  8. Sare mpya Kwa madereva bodaboda DAR

    Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea. Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa...
  9. P

    Kisutu: Mwendokasi na bodaboda zagongana, wawili wafariki

    Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu. Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.
  10. LATRA K'njaro yawezesha SACCOS kwa Bajaj na Bodaboda

    Mamlaka ya udhibiti usafiri ardhini mkoani wa Kilimanjaro(LATRA)imekamilisha mchakato wa uanzishwaji wa Chama cha ushirika wa Akiba na mikopo(SACCOS)kwa ajili ya chama cha Madereva wa Bajaj na Bodaboda Katika mkoa wa kilimanjaro. Mpango huo inatajwa kama moja ya mwarobaini wa kutafua changamoto...
  11. Wachambuzi wetu wanachumbua dereva wa bodaboda apigwe na dereva wa fuso

    Nimeshuhudia dereva wa lori akichomolewa na kupigwa na dereva wa bodaboda baada ya dereva wa lori kumsukumia mtaroni dereva wa bodaboda. Sio kwamba timu ikiwekeza sana lazima mara zote iifunge timu yenye uwekezaji mdogo. Wachambuzi wetu wanazilazimisha Al-Ahly na Mamelodi izifunge Simba na...
  12. Unaweza kumfanya hivi mpenzi wako kwenye bodaboda

  13. Bodaboda anaomba Muongozo anahisi kuna Mazingaombwe

    Kuna Jamaa Nambebaga Kwenye Bodaboda kumpeleka Kazini daily Aliniambia Analipwa 500K Kajenga Na Ana Mke Na Watoto Wawili Anasomesha Bording Hivi Inawezekanaje?
  14. Kijana wa miaka 12 agonga bodaboda

    Hii nchi mpaka tufikie mwaka 2030, tutakuwa tumeona mengi kwa kweli. Kijana mmoja ameipamia bodaboda kwa mbele alipokuwa kwenye harakati ya kumkimbiza mdudu wake aliyemponyoka kwa bahati mbaya. Bodaboda hakuwa na hili wala lile mpaka pale aliposhangaa kijana kaingia kwenye njia yake huku...
  15. A

    DOKEZO LATRA fanyeni hivi kutatua Tatizo la bodaboda na bajaji na usafiri wa mijini kwa ujumla

    Sijui shida ni nini. Huku south Africa, botwasana, Námibia huwezi oná bodaboda. Zimejaa zile toyota hiace Kila mahali. Sisi tuliondoa hiace mjini miaka hiyo. Sasa tumesajili bodaboda na bajaji. Solution ni simple. Waache kusajili bodaboda na bajaji. Waacha kuimport. Hiz zilizopo zifanye route...
  16. Serikali imeshindwa kutatua kero na matatizo yatokanayo na bodaboda na Bajaj nchini!

    Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto. Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi. Wanasiasa...
  17. Siku hizi ukizubaa tu getini kwako panageuzwa kijiwe cha bodaboda

    Kila kituo cha Daladala Dar es salaam kuna kijiwe kikubwa cha bodaboda. Na kituo kimoja kikubwa unaweza kupata vijiwe vya bodaboda vitatu mpaka vitano. Kila kwenye shughuli za kijamii lazima kuna kijiwe cha bodaboda. Kama family ina trips nyingi za kutumia bodaboda, si ajabu bodaboda wakaweka...
  18. Swali: Kwanini Bodaboda nyingi sasa hivi hazina Vioo vya pembeni, (Side mirrors)?

    Thread was deleted
  19. Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Sina mambo mengi Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule. Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea. Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
  20. Jeshi la Polisi laonya wanaojichukulia Sheria mkononi

    Jeshi la Polisi Nchini limesema hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya vitendo vya kihalifu ambavyo havikubaliki, Akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari leo Februari 28, 2024 Msemaji wa Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…