Leo imetimia miaka 14 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere atutoke October 14, 1999.
Moja ya urithi aliotuachia ni Chama Cha Mapinduzi. February 5, 1977, TANU na ASP zilipounganishwa kuzaa CCM mwalimu alisema;
“Kuanzishwa kwa Chama Cha Mapinduzi ni kitendo cha watu waliodhamiria kuleta...