Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao.
Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake...