duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu: 80% ya wakimbizi duniani ni Waislamu, lakini hawaendi nchi za kiislamu ambazo ni 50 duniani! Kwanini?

    Hizi ni takwimu kutoka mtandaoni. Siwezi kuhakikisha ukweli wake, but all in all wengi wako Western World. Kwanini hawaendi kwa wenzao wanakwenda kwa " makafiri"? Ilham Omar ni mbunge Marekani, why not Pakistan Afghanistan and the like? kwanini alikimbikia kwa makafiri?
  2. JamiiForums Tanzania vita, mauaji na machafuko si kitu kipya duniani, historia inatufundisha nini?

    Nashangaa kuona watu wanashangaa kana kwamba vurugu za kisiasa, mauaji na matumizi ya nguvu dhidi ya raia ni vitu ambavyo havijawahi kutokea duniani. Hebu tuangalie historia kidogo. Kuanzia falme za kale za China, wafalme wa Ulaya, vita vya kikoloni, mapinduzi, vita vya dunia hadi migogoro ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna watu wana mioyo ya chuma! Jamaa amemaliza miaka 28 akitembea kwa miguu duniani kote bila kupanda boti wala ndege

    Alikamatwa Darien Gap, akakutana na Dubu Siberia, kaogelea hadi Uingereza: Huyu ndiye Karl Bushby, mtu mwenye uthubutu mkubwa zaidi duniani! Je, unaweza kuvumilia miaka 28 ukiwa mbali na familia kwa ajili ya ndoto yako? Fahamu kisa cha Karl Bushby, mtu aliyetembea kwa miguu kutoka Chile hadi...
  4. JamiiForums Tanzania Duniani kote nadhani Israel ndio nchi yenye watu/wananchi wenye uelewa mdogo zaidi

    Wananchi wengi wa Israel hawana tofauti na wafuasi wa yale makanisa ya kiroho. Ambapo mchungaji ananunua kitambaa cha Tsh 500 au maji , au hata tunda, anauza kwa faida ya mara 10 ama 20 kwa kigezo ameombea hio bidhaa.... Wananchi wa Israel wanadanganywa na wanasiasa kama Netanyahu na genge...
  5. JamiiForums Tanzania Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa vile wakipotezwa, wakitekwa hawana wa kuwapigania wakae pembeni sote tuwe wapenzi watazamaji - duniani tunapita tu

    Huu ni ushauri uliojaa masikitiko na majonzi ndani yake. Machozi pekee hayatoshi kuwatia moyo, post za mitandaono hazitoshi kuwarudisha wanapotekwa, wanapopotezwa Yule aliyekuwa wakwao, alipoanza kuwaambia ukweli, wakamgeuka, wakamuwinda mwisho waliokuwa karibu yake wakachora ramani tukaishia...
  7. JamiiForums Tanzania System haikutengenezwa kutukomboa, bali kutufanya watumwa

    Since a kid, used to feel like an outsider. Baada ya kujaribu ku fit in, naona imegoma kabisa. Unafanya kazi, mifumo inakufanya soul yako ijihisi kama iko kifungoni. Unajaribu kukaza, una burn out, ila utafanya je sasa, na hauja zaliwa na kuna MO, bakhresa? Kweli, the system wasn't...
  8. JamiiForums Tanzania Ziwa Jipe hatarini kutoweka, samaki adimu wa ‘Jipe Tilapia’ wakabiliwa na tishio la kutoweka Duniani

    Andiko la Haika Kimaro, Kilimanjaro Ziwa Jipe, lililopo mpakani mwa Tanzania na Kenya, linakabiliwa na tishio kubwa la kupoteza uhai wake wa kiikolojia kutokana na kuongezeka kwa magugu maji, kupungua kwa kina cha maji, uharibifu wa mazingira na shughuli za kibinadamu zisizozingatia misingi ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Aliens kutoka anga za mbali hawajawahi kutufikia duniani??

    https://youtu.be/92sonpfS18U?si=LmJKb6a5XRMFnHQW
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndio maana Muumba wetu akatupa muongozo (Katiba) tuufate dunia nzima ili kuepusha haya yanatokea duniani

    Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze. Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla. Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Njaa duniani inahitaji suluhisho la muda mrefu

    DKT. MWIGULU: NJAA DUNIANI INAHITAJI SULUHISHO LA MUDA MREFU Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema mapambano dhidi ya njaa yanahitaji uwekezaji wa muda mrefu katika kilimo endelevu, maendeleo ya vijijini na mifumo imara ya chakula, sambamba na misaada ya dharura. Amesema hayo Oktoba 22...
  12. JamiiForums Tanzania Haitakaa iwepo Demokrasia duniani

    Hadi pale nchi zote zitakapo kuwa na nguvu sawa ya kijeshi na vyama vyote vitakapo kuwa na nguvu sawa za kijeshi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uislamu ndio dini ya haki duniani

    Kwanini mambo haya sisi waislam tunapenda kuyaficha na tunayafanya sana mfano kwetu Zanzibar,Tanga na dar es salaam Yani ulawiti ni jambo la kawaida madrasa
  14. JamiiForums Tanzania UV CCM BAADA YA KUAMBIWA NI WALA RUSHWA WASEMA SAMIA NI MUNGU WA 3 DUNIANI

  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  16. JamiiForums Tanzania Je unajua kwanini upo hapa Duniani?

    Kusudi la sisi kuwepo hapa duniani ni nini hasa, ikiwa kila sekunde watu wapya wanaendelea kuzaliwa na kuingia kwenye huu mzunguko wa kijinga? Hivi hamuoni kama tunaishi kwenye utani mkubwa sana uliopitiliza?. Eti tunazaliwa ili tuje kumuabudu Mungu. Serious? Yaani Mungu Mwenyezi, Muumba wa...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio dini number moja kwa masharti magumu zadi duniani

    Kwenye ulimwengu ambapo kila dini inahubiri utakatifu na maisha ya ucha Mungu, kuna imani moja kutoka nchini India inayovuka mipaka yote ya akili ya kibinadamu—Ujaini (Jainism). Hii si dini ya kawaida; ni nidhamu ya kiwango cha juu cha kiroho ili uweze kuwa mtakatifu kweli. Wajaini wana fuata...
  18. JamiiForums Tanzania Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa Demokrasia duniani

    Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa nchi Demokrasia duniani, waliopata Demokrasia wataendelea kubaki hao hao, demokrasia itatoweka kwao pia. Ambao hawakupata demokrasia hawatakaa waipate.
  19. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 6 Duniani kwa watu ambao wanaoishi na umasikini

    Taasisi ya World Data Lab imetoa takwimu mpya zinazoonyesha nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi katika hali ya umaskini uliokithiri duniani kwa mwaka 2026. Kulingana na data hizo, Nigeria inongoza orodha hiyo kwa kuwa na watu milioni 73.1 wanaoishi katika umaskini uliokithiri...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya sita kwa kuwa na masikini wengi zaidi Duniani

    Utafiti uliofanywa na taasisi ya World Data Lab umeitaja Tanzania kuwa nchi ya sita katika orodha ya nchi ambazo watu wake wanaishi kwenye umaskini uliopindukia (extreme poverty). Lakini wiki iliyopita serikali ilitangaza kuuza hatifungani (bond) ya miaka 25 ambayo ilikuwa inalipa kiwango cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…