Nimeona tupate uzoefu kidogo wa maisha ya ndoa ambao na mie nimeupitia..
1. Historia ya ndoa kwao, anzia ngazi ya wazazi je wapo kwenye ndoa au wameachana, je ? kuna ndoa za mitara kwao , pia hali ya ndoa kwenye familia nzima ikoje ( kama hali ya afya ya ndoa mbovu kuanzia wazazi, na nduguze...