hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania tuheshimu kura zetu, kama CHADEMA sasa hivi wanatukanana, na hata kutaka kupinduana, ndio tuwakabidhi nchi? Hapana, tuwape muda kuwasoma

    Hawa jamaa chama chao hakijatulia kwa kiwango cha kupewa nchi au wabunge. Ndani kimeoza, kina vita, fitna, mapambano, husda. Mbowe alijaribu kuonyesha mambo yako sawa kwa busara zake kabla hajastuka kwamba msaidizi wake ni mteja wa mirembe na kinywa chake kimeoza Tuna familia, watoto, ndugu...
  2. Kwa kauli hiyo ya Lema huenda hata Magufuli kacheka huko alipo

    "...wote tulikimbia hapa. Hata yeye mwenyewe alikimbilia Dubai. TUNGEVAA MADERA ENDAPO ANGEBAKI HATA MMOJA WETU." Hahaha!
  3. Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  4. R

    MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  5. Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana. Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya...
  6. M

    Pre GE2025 UCHAGUZI CHADEMA: BAVICHA waelewe bila Maridhiano hata huo Uchaguzi labda usingefanyika, punguzeni Dharau kwa Mbowe

    Nimekwazika sana baada ya kufuatilia Mdahalo wa Wagombea wa BAVICHA kuona wanashambulia Maridhiano kwamba hawakubaliani nayo na mambo mengine ya kijinga waliyoongea kuonyesha upeo mdogo sana wa kuona mambo kwa upana. Kwa wanaoelewa hali ya kisiasa ilipofikia hata Vikao vya ndani vya Chama...
  7. B

    Angalizo la usalama: Lissu na wanaoitwa wahaini wote CHADEMA, Akili kichwani asiaminiwe mtu hata baina ya ninyi Kwa ninyi!

    Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa: Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje? Kwamba kwa maneno yao wenyewe, kumbe kipi kinaweza kisiwepo mezani? Kwamba wengine wanajutia kushikilia chupa...
  8. PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  9. Lissu: Chadema kipo kibra na M/kiti hana ushawishi tena ndiyo maana hata anapoitisha maandamo ni yeye na binti yake wanahudhuria

    "....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?" "....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!" "....watu waliokuwa tayari kutufia, sasa wana kiona Chadema kama rafiki kipenzi wa CCM." Tundu.
  10. Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
  11. Mbowe amethibitisha kuwa hata kama CHADEMA ingechukua Serikali, kama yeye akiwa Kiongozi Mkuu, hakuna la pekee

    Leo hii, kama upo ndani ya CCM, na una sifa zote, lakini ukachukua fomu kumchallenge Samia kwenye nafasi ya Urais au Umwenyekiti wa CCM, huo utakuwa ndiyo mwisho wako kisiasa ndani ya CCM. Leo hii, kama upo ndani ya Serikali, halafu ukaikosoa Serikali au Rais au mwenyekiti wa CCM, huo itakuwa...
  12. Kwanini Mbowe asikimbilie hata CHAUMA au UDP kama wanachama hawamtaki

    Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza...
  13. Yesu hakuwa na Kanisa wala pesa, hakuacha hata hao wakristo. Je, hawa wanapata wapi haya wanayofanya?

    Kwa waliosoma na kuelewa habari za Yesu watakubaliana nami yafuatayo: Mosi, alikuwa maskini au lofa wa kawaida mwana wa seremala ambaye kama angerudi leo na kukuta wanaomhubiri na utajiri wao haramu, angezimia mbali na kuwakaripia hata kuwachapa. Pili, hakuwahi kuwa na wala kuingia kanisani...
  14. Ila hapa Wenje jamaa yetu lakini alikosea. Alimnyima Dereva wake hata Million 1? Hata mimi ngeacha kazi

    Hayo yamesemwa jana CH. Dereva wa Wenje alikasirika na kuamua kuacha kazi baada ya kuona Boss wake hana utu. Yaani lile fuko ambalo alikabidhiwa na Abdul alishindwa hata kuchomoa milion 1 akampa dereva? Lissu alileta mapozi. Akazikataa pesa. Ukisusa wenzio wanakula. Hata mimi ngekuwa Wenje na...
  15. S

    Nimesoma IT, natafuta kazi

    Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
  16. I

    Uwanja wa ndege wa Beirut waanza kuwakagua hata wana diplomasia wa Iran tofauti kabisa na ilivyokuwa huko nyuma

    Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu. Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air", mwanadiplomasia wa Iran alitoka moja kwa moja kutoka kwenye ndege hadi kituo cha ukaguzi cha skana ya...
  17. Waafrika tunaongoza kwa kujifanya tunajua mambo mengi wakati hata utafiti kidogo kwenye hayo mambo hatujafanya; mtu kaambiwa tu ishakuwa kweli!

    Kasumba hii inaathiri sana uwezo wa watu wetu wa kufikiri kwa kina, hasa katika bara letu la Afrika. Akili za Waafrika wengi zimekuwa kama sifongo zinazofyonza taarifa bila kuchuja wala kutafakari juu ya ukweli au mantiki ya kile kinachosemwa. Mara kwa mara hukutana na watu wanaoamini mambo ya...
  18. Pole Sana Mama Janeth Magufuli pokea upendo na faraja ya umma wa Watanzania hata milele

    Hawa ndio wanadamu! Kipenzi chako na baba wa familia alikesha na mafaili wizarani na baadae ikulu na pengine aliwasahau kama wanafamilia kutokana na kujitoa kwake kama sadaka ya watanzania! Hakika usifadhaike ,usilie,usijute bali muombe Mungu sana. Wanadamu wabaya ndivyo walivyo...hawapendi...
  19. Dili la kumtetea limekata, wameshauriana wanamkataa sasa hivi wakiamini watamsafisha aliyepo sasa

    Uzi tayari?!? Yeah uzi tayari
  20. Leo naondoka kwa shemeji hata wanibembeleze vipi

    Wakuu jana nimefika hapa kwa dada yangu ambaye ameolewa nikitokea kwetu huko mikoani. Kusema kweli ujio wangu uliwafurahisha hasa shemeji yangu ambaye kila siku alikuwa analalamika kwa Nini siwatembelei. Tuliongea mambo mengi sana hasa kuhusu maisha. Basi, baada ya maongezi nikaonyeshwa chumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…