hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mm ni kilaza lakini Nchimbi yupo lockdown hata barua hakuandika yeye (hii ni nimeipata sehemu)

    Kutoka jikooni ,nchibi yupo lock down cm zake zinashikiliwa na mamlaka Alicheza kalata vzr ila Amesalitiwa mwishoni Huo ndo ukweli
  2. JamiiForums Tanzania Asili ya binadamu kujipendekeza na kutaka kukubalika hata na watu wasiomjua

    Tangu juzi naangalia status za whatsapp za watu hapa kazini, kama watu sita hivi wamempost Makamu wa Raisi Mteule, Deo Ndejembi. Sasa nakuwa najiuliza, una mposti mtu ambaye hata hakujui ili iweje? Unampostia nani? Unamjulisha nani ambaye hajapata hizo taarifa kwamba Makamu wa Rais Mteule ni Deo...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu nipeni dili za pesa hata kama ni Haramu mi nifanya life ni gumu kitaani Aisee

    Sitaki kueleza sana ila wakuu life limeninyoosha hasa naombeni dili yoyote mi nitapiga life ni tite kinoma aisee kila unacho fanya hakiendi mpaka kula kwenyewe shida tafadhalini leteni Dili yoyote mi nitapiga walau na mimi niwe na uhakika wa kula
  4. T

    JamiiForums Tanzania Yaani CCM wakiwa na jambo lao hata kama ni la kutumbukiza nchi shimoni watashikamana na kulipigia debe hutajua yupi professor doctor au la saba

    Hiki chama kina matatizo sana yaani wao cha kwanza kwao ni maslahi ya chama kwanza. Na sababu kuu ni kwamba wameaminishwa kwamba hakuna maisha nje ya chama hivyo mtu yuko tayari kusaliti dhamiri yake kusaliti elimu yake na kusaliti utu wake ilimradi tu asiende kinyume na chama. Yaani kwa kifupi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Swali gani la darasani ukiulizwa hata ukiwa umeamka usingizini huwezi kukosa?

    Swali gani la darasani ukilizwa hata ukiwa usingizini huwezi kukosa hata ukiwa mzee?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania Ilipofikia Sasa Hata 'Banana Republic' Ina Nafuu

    Mshindi wa nafasi ya U-Raisi anapata kura asili mia 98, toka kwa waTanzania milioni 31 waliojitokeza kupiga kura. Sijui hiyo asili mia mbili ilipotelea wapi. Inawezekana ni kura zilizoharibika zilizomkosesha mshindi kupata asili mia kamili? Sasa tunaambiwa, huyu aliyepigiwa kura na wabunge yeye...
  7. JamiiForums Tanzania ID yangu ni mpya, lakini usinichukulie kama mgeni—nimekuwa humu kabla hata ya wewe kufungua uzi wako!

    Wakuu, kuna tabia moja nimekuwa nikiiona humu ambayo inachekesha kidogo, lakini pia inanifanya nijiulize. Unafungua ID mpya, halafu ghafla watu wanakuangalia kama umetua leo kutoka sayari nyingine! 😂 Ukiandika hoja yenye kueleweka wanaanza: «“Wewe ID mpya, unajua nini kuhusu JF?”» Sasa ngoja...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kwa ninavyomfahamu Nchimbi siyo chawa, hata kwa matamko aliyokuwa akitoa

    Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Kidemokrasia uliofanyika kwenye makao makuu ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema aliyekuwa makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa hajawai kuwa chawa "Kwa sababu mimi nasema...
  9. JamiiForums Tanzania Watawala wa kiafrika noma sana. Yaani hata kama haukubaliki unalazimisha kwa kuteka

    There is no good politics in Africa👇
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke hata kujinunulia Vocha hawezi alafu analazimisha akushauri. Ujinga mtupu!

    MWANAMKE HATA KUJINUNULIA VOCHA HAWEZI ALAFU ANALAZIMISHA AKUSHAURI. UJINGA MTUPU! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nyie dada zangu. Nilishawaambia mfanye kazi. Baadhi yenu bado vichwa ngumu. Hamtaki kujishughulisha. Alafu ninyi ninyi ndio wakwanza kulalamika waume zenu hawawasikilizi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hapa tulipofikia hata kijana wa IJA anaweza kuandika hukumu ya haki-Reasoned Judgement

    Hii kesi ilipofikia hata kijana anayesoma Diploma ya sheria IJA (Institute of Judicial Administration, Lushoto anaweza kuandika hukumu ya KWELI. Reasoned judgement! Naishia hapa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Aliyefanya jaribio la kukua, usimsamehe hata siku moja

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kama kuna mtu aliwahi kufanya jaribio lolote ambalo halihatarishi maisha yako, hakuna sida. Kama kuna mtu yeyote aliwahi Fanya jaribio la kutaka kukua (kukutoa uhai), usimsamehe hata siku moja. Akijaa katika mfumo, mpe zawadi yake, kama sio yeye personally, basi mpe...
  13. JamiiForums Tanzania Kuwa Mkweli Kunaponza!, Nilidhani Unawa Cost Malofa na Makapuku Tuu, Kumbe Hata Vigogo Wakubwa kama Huyu!. Kosa Lake Nini?, Au ni Kuwa Mkweli Sana?!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali... Japo najua mtu ukiwa mkweli sana, sometimes ukweli unaweza kukuponza!, ila nilidhani ukweli una wacost malofa tuu na makapuku, sikujua kama unaweza kuwaponza wakubwa kama Balozi Polepole, Polepole alipoanza kuusema ukweli wake, mimi nilimshauri sana tuu...
  14. JamiiForums Tanzania Maulidi yangu Leo hata sijaifurahia 🥲🥲

    Maulidi yangu Leo hata sijaifurahia 🥲🥲
  15. F

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Samia ateue aidha Mchengerwa, Wanu siyo Tulia

    Nimependa kujiuzulu kwa Nchimbi ili kupisha utawala wa kifalme . Afanye hivyo kama mfadhili na rafiki yake Museveni kieleweke. Sasa naamini Tanzania ni shamba la bibi tena mwenyewe kiziwi na kipofu. Kwa ufupi, hao hapo juu ndo napendekeza wateuliwe mmojawapo tumalizane na kianze kuumana kwenye...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Professor Elisante Gabriel!!! Hata sijui ni nani huyu.

    Wakuu, huyu ni professor wa nini na yupo wapi sasa? Nimesikia sehemu Rais anamtafuta mtu weak mno ampe Nafasi ya Nchimbi. Mtu asiyemsumbua na kuilenga 2030 na amepanga kwenda na mtu huyu. Nchi hii tutaona mengi wallahi
  17. JamiiForums Tanzania Kabla kesi hata haijasikilizwa... Mshtaki huwa anaamini mshtakiwa ana makosa

    Ni ngumu sana mshtaki kuamini mshtakiwa hana hatia !
  18. JamiiForums Tanzania Watekaji watakufuata hata ukiwa nje ya nchi ukiwa mkosoaji.

    https://www.facebook.com/share/v/18PhWwfhPp/
  19. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna muwekezaji afungue hospital ukanda wa Ubungo, Kimara, Mbezi yote basi hata Kibaha

    .
  20. JamiiForums Tanzania Siyo Samia pekee, hata mahakama imejipanga kushughulikia wakosoaji

    Tusikwepe kuiona picha kubwa inayochezwa na mihimili ya serikali haramu ya Tanzania dhidi ya raia, wakosoaji na wanaharakati wa Haki na Demokrasia nchini Mahakama inapopokea kuendesha kesi za kisiasa dhidi ya wapinzani ni ushahidi kuwa mahakama imekubaliana na Executives kubaka Katiba, Haki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…