kali

  1. Unapambanaje na hii hali ya joto kali?

    Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa. AC unaweka hadi 16ยฐc lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service, wamesema gas IPO ya kutosha lakini bado inaelemewa. Wenzangu mnapambanaje na hili joto, naomba tupeane uzoefu.
  2. Hivi Kuna madhara ya kuweka pombe Kali kwenye fridge na baadae kuinywa??

    Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk. Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua hili......tchao!!!
  3. Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii.

    Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata...
  4. Nauza ๐˜›๐˜–๐˜ ๐˜–๐˜›๐˜ˆ ๐˜™๐˜ˆ๐˜Š๐˜›๐˜๐˜š 2007 ina Sunroof Kali sana.

    ๐˜›๐˜–๐˜ ๐˜–๐˜›๐˜ˆ ๐˜™๐˜ˆ๐˜Š๐˜›๐˜๐˜š 2007 / Panoramic ๐š‚๐šž๐š—๐š›๐š˜๐š˜๐š. ๐˜Œ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ฆ ๐˜š๐˜ช๐˜ป๐˜ฆ: 1490๐˜ค๐˜ค ๐˜๐˜ถ๐˜ฆ๐˜ญ: ๐˜—๐˜ฆ๐˜ต๐˜ณ๐˜ฐ๐˜ญ ๐˜Š๐˜ฐ๐˜ญ๐˜ฐ๐˜ณ: ๐˜Ž๐˜ณ๐˜ฆ๐˜บ ๐˜š๐˜ฆ๐˜ข๐˜ต๐˜ด: 5 ๐˜”๐˜ช๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ: 59,900๐˜ฌ๐˜ฎ #๐˜๐˜ฆ๐˜ข๐˜ต๐˜ถ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ด ๐˜—๐˜ข๐˜ฏ๐˜ฐ๐˜ณ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ช๐˜ค ๐˜š๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ณ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜งโœ…| ๐˜—๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฅ๐˜ญ๐˜ฆ ๐˜š๐˜ฉ๐˜ช๐˜ง๐˜ต๐˜ฆ๐˜ณโœ…/ | ๐˜™๐˜ช๐˜ฎ๐˜š๐˜ฑ๐˜ฐ๐˜ณ๐˜ต๐˜ดโœ…| ๐˜—๐˜ถ๐˜ด๐˜ฉ2๐˜š๐˜ต๐˜ข๐˜ณ๐˜ตโœ…| ๐˜’๐˜ฆ๐˜บ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ด๐˜ด ๐˜Œ๐˜ฏ๐˜ต๐˜ณ๐˜บโœ…| ๐˜Š๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ขโœ… | ๐˜™๐˜ฆ๐˜ข๐˜ณ ๐˜š๐˜ฑ๐˜ฐ๐˜ช๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ณ โœ… ๐˜—๐˜ณ๐˜ช๐˜ค๐˜ฆ: 17,800,000 + ๐˜™๐˜ฆ๐˜จ๐˜ช๐˜ด๐˜ต๐˜ณ๐˜ข๐˜ต๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ โœ… ๐˜Š๐˜ข๐˜ญ๐˜ญ: 0712908015 ๐˜•๐˜ˆ๐˜๐˜œ๐˜•๐˜‘๐˜ˆ ๐˜•๐˜ˆ ๐˜Ž๐˜ˆ๐˜™๐˜...
  5. Mwanakwaya auawa kikatili kwa kucharangwa na vitu vyenye ncha kali

    Mwanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Buhangija, Manispaa ya Shinyanga, Agatha Nyahuma (32), mkazi wa Bugayambelele, Kata ya Kizumbi, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana waliomtaka kwa vitu vyenye ncha kali katika maeneo ya mabega, mgongoni na mkono wa kulia. Kaimu...
  6. natafuta gari kali la tsh million 60 wakuu

    kwema natafuta ndonga kali ya kuvimba nayo mjini ya tah million 60-80 mwenye nayo aweke mawasiliano au atupiemo ka picha
  7. Hii ni mara ya Pili wanarudia hili Kosa kwanini sasa hamuwapi Adhabu Kali ili waache na mnaendelea tu Kuwaonya? Wanafiki wakubwa nyie na Uyanga wenu

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imewapa onyo kali Viongozi wa klabu ya Yanga kwa kosa la kuingia kwenye eneo la kuchezea (pitch area) katika mchezo uliowakutanisha Yanga dhidi ya Singida BS baada ya mchezo kukamilika. Viongozi hao wa klabu ya Yanga walioingia uwanjani walisababisha...
  8. TFF yampa onyo kali Rais wa Yanga Hersi Said

    TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili. Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
  9. Hivi kuna rhumba kali kuizidi Maboko Pamba ya Fere Gola?

    Yes, kwa utamu na mpangilio wa rhythm na souti huku mdundo ukidunda kwa taratibu hadi mwili automatic unayumba kwa muitikio wa mapigo ya music, unaweza weka repeat asubuhi mpaka usiku usichoke kulisikiliza hili dude. Je, kuna rhumba kali kuliko hiki chuma katika ulimwengu wa rhumba...
  10. Kamati ya masaa 72 yaifuta kadi nyekundu ya Derick Mukombozi

    Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua... Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
  11. Poleni sana Wakazi wa hii Mikoa tajwa Tanzania kwa Joto Kali mnalolipitia sasa

    Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi Polemi sana Wakati wa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Tanga, Lindi, Mtwara na Zanzibar (Unguja na Pemba) Nilipo Mimi Kampala, Mubende...
  12. L

    Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  13. Tamthilia ya Kombolela Season 2 ni kali sana

    Wakuuโ€ฆ Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine. Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi Kikala na dada zake akina Siwa na Mwadawa!! Inasadifu maisha halisi ya uswahiliniโ€ฆ
  14. R

    Ni kwanini Elon Musk haondoi video za pono kwenye huko twitter, hii kitu ina addiction kali sana kwa vijana

    Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter MADHARA YAKE Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku ili anunue kifurushi cha elfu mbili Porn inachochea kujichua ukiwa mraibu wa kujichua kwa muda...
  15. Ujerumani: Watu 28 wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililokuwa linaendeshwa na mkimbizi kutoka Afghanistan

    Yani hawa Wajerumani si ndio walikuwa upfront kuwapokea kwa wingi ngoja waendeleee kuona moto. Mara ya mwisho kuna mmoja alifanya hivi hivi sasa leo tuna mwingine kafanya yake, kuendesha gari na kuwasomba watu waliokuwa pembezoni. Hawa watu asili yao ni kuitafuta damu, damu ya asieamini kama wao
  16. Mamlaka ya hali ya hewa, sema kitu, Joto limekuwa kali mno

    Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama tuko Dar es salaam au Sudan Twambieni utabiri kwenye mitambo yenu inaonyesha nini, tunapanda...
  17. Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

    Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu. Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana. Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya...
  18. Elon Musk na Julius Malema ndani ya vita kali ya maneno. (Huyu Elon toka apewe rungu anaenda kuchanganyikiwa)

    Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa mwanasiasa huyu kwenda kwa jamii ya wazungu wa Afrika Kusini. Tajiri Elon hapa kachafukwa anataka...
  19. R

    Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

    Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna 1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ