Kuna jamaa alikuwa kila akienda msalani na kopo lake la maji akimaliza kujisaidia kucheki kopo lake maji hakuna,
Kesho yake alipoenda msalani akaona isiwe tabu akajisafisha kwanza kabla ya kujisaidia ili kuwahi maji yasiishe,
Kumbe kopo lilikuwa limetoboka, yeye hakutaka kujua hilo :D :D :D...