Vijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona.
Kama ww ni kijana ambaye bado ndo unajitafuta na una ndoto za kufika mahali fulani kimafanikio, basi itabidi uwe na...