Habari za wakati huu wana jamiiforum, Rejea kichwa cha Habari hapo juu ni kwamba Nina tafuta mtu anayesoma katika Chuo Kikuu huria OUT, kozi ya procurement and supply ngazi ya Diploma lakini pia kama Kuna mtu utakuwa unamfahamu na hayupo humu basi waweza niunganisha naye PM ipo wazi,Ahsante.