kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunajenga Taifa la Wajinga Kujinufaisha Kisiasa - Ati Trilioni 13 zatekeleza miradi ya afya, elimu Mbeya

    Ati Mkoa wa Mbeya umetumia Trilioni 13 kutekeleza miradi mbali ya maji, elimu na afya kwa mwaka 2021/2022. Hii ikiwa ni zaidi ya robo ya bajeti Taifa iliyotengwa na serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambayo ilikuwa ni kiasi cha trilioni 41. Ikiwa kila mkoa umetumia trilioni kiasi kama hicho...
  2. M

    Zitto Kabwe adaiwa kutupiwa lawama na viongozi ACT Wazalendo kwa kushindwa kuikosoa Serikali

    Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
  3. J

    Shaka: Chokochoko za kisiasa ni hatari kwa umoja wa kitaifa

    CHOKOCHOKO ZA KISIASA NI HATARI KWA UMOJA WA KITAIFA - SHAKA Asisitiza kuwa Rais Dk. Samia, Rais Dk. Mwinyi wanafanya kazi kubwa kuleta maendeleo waungwe mkono Na MWANDISHI WETU, Pemba Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM melaani kauli za baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi...
  4. Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

    RC Mtaka ni kiongozi mzuri lakini naona huwa anavuka kabisa mipaka labda kwa kujua au kutokujua ila mwishoni huonekana ni kama vile maamuzi binafsi ya kujijenga kisiasa. Mara kadhaa ameshawahi kuleta misuguano hadi na waziri wa elimu kutokana na maamuzi yake ambayo huwa hataki kabisa yapingwe...
  5. H

    Nafasi ya tatu kwenye mashindano mengi ni ya kisiasa tu Haina maana yoyote.Fifa waondoe hii

    Habarini wadau wa soka. FIFA wangeanza kwa kuondoa hii nafasi ya tatu kwenye mashindano haya ya kombe la dunia then wengine wangefuata. Sioni maana ya hii nafasi zaidi ya kupoteza muda na kujichosha tu.Labda iwe kwa ajili ya kupata pesa tu. Dhumuni la timu ni kucheza fainali na...
  6. Ninaamini bila shaka historia ya nchi imeharibiwa makusudi kisiasa, sehemu kubwa ni uongo

    Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI... nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za...
  7. Matukio ya kisiasa yaliyotikisa 2022

    Mwaka 2022 unakabiria kufikia ukingoni, tufanye tathmini ya matukio ya kisiasa yaliyotikisa mwaka 2022 ambayo yaliingia kwenye mjadala mkubwa wa kitaifa. 1. Tukio la Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyechaguliwa kikatiba kujiuzulu 2. Mbunge Luhaga Mpina kuibana Serikali bungeni kwenye mambo...
  8. Januari Makamba kukataliwa na Wajumbe 1,463 kati ya 1,915 inatoa taswira gani kisiasa?

    Januari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais. Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura...
  9. Waziri Kabudi: Tanzania haijazuia Maandamano wala Mikutano ya Kisiasa!

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali haijazuia maandamano na mikutano ya kisiasa isipokuwa wanaandaa utaratibu rafiki utakaotumika pasipo kuvunja sheria za nchi. Kabudi amesema kuwa inatambua umuhimu wa mikutano ya siasa na pindi utaratibu utakapokamilika...
  10. Unadhani ni umri gani kwa mwanasiasa haufai kugombea nafasi za kisiasa Tanzania?

    Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa?? Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea...
  11. P

    Royal Tour ni sumaku ya kisiasa Mkakati wa Kenya una changamoto chanya kwa Tanzania

    Video ya Rais William Ruto akiongea na wakenya waishio ughaibuni (diaspora) siku za karibuni, imejaa kila aina ya somo jema kwa uhai wa miaka mingi wa Tanzania yetu. Ruto kawa muwazi kwa wakenya kwamba anabariki jitihada zao za kutafuta maisha huko ughaibuni, kwamba wanachokipata huko...
  12. K

    Kuitwa Dkt kumekuwa fashion za kisiasa. Wananchi tunahitaji matokeo

    Najua Tanzania kuanzia wakati wa Kikwete imekuwa kama sifa kuwa na PHD hata kama ni za kupewa, kupendelewa au kununua. Kwa wanajua elimu huwezi na ni vigumu kuweza kupata PHD ya kweli wakati wewe ni waziri. Kuna mawili kama umepata PHD yako kama waziri kwanza inawezekana hufanyi kazi yako vizuri...
  13. KISIASA: Tanzania tuna chama kimoja tu, CCM!

    Inasikitisha, Inahuzunisha ila uhalisia unabaki hivyo. Nchi ya Tanzania kama yalivyo mataifa mengine Duniani inatamaduni zake na mifumo yake ya kiutawala! Democracy ndio mfumo unaotumika ktk kuendesha Nchi hususani mfumo wa vyama vingi vya siasa! Tanzania kuna vyama vingi vya siasa vikubwa kwa...
  14. Wizara yetu ya michezo iache kukaa kisiasa

    hii wizara ndiyo baba wa wa kuleta furaha kitaifa. Kwa mtaji huu wa furaha ili utunufaishe lazima TFF na Chama cha riadha viwekewe malengo na hayo malengo yafuatiliwe. nashangaa sana sijaona waziri wa michezo akihoji hadharani kwa nini TFF haileti makocha bora wa kueleweka kuinoa timu ya...
  15. Serikali iitupie jicho kali MVIWATA na viongozi wake, tayari wamejibainisha kuwa na ajenda ya chinichini ya kisiasa

    Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano. Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil)...
  16. Bashiru avuliwe ubunge, apewe ukatibu tawala wa wilaya. Ni wakati sasa watu wajue hii ni Awamu ya Sita

    Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina. Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...
  17. Makosa makubwa matano ya mwanzo ya kisiasa ya Rais Samia ambayo yanamgharimu sasa

    Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa. 1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa...
  18. Fahamu makosa makubwa matano ya mwanzo ya kisiasa ya Rais Samia ambayo yanamgharimu sasa

    Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa. 1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa...
  19. Kama ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dar hauzidi bilioni 300, sioni sababu ya kufanya Private Public partnership, kisiasa italeta kelele

    Morogoro Dsm ni kilometa hazizidi 200, hata kama kilometa moja ni bilioni moja, haizidi bilioni 200, hivi kama nchi tunakosa fedha hizi? Na asilimia kubwa ya eneo Hilo fidia ni kidogo. Tiweke mpango wa miaka minne Kila mwaka tutenge bilioni 100, tutaepuka political issues na pia inawezekana...
  20. Chama cha kisiasa kimebaki kimoja tu kwa sasa. Tuambiane ukweli bila woga

    Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe. Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…