kufunga

  1. Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  2. Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  3. Fundi umeme na madishi na kufunga mapazia

  4. Mkuu wa Wilaya ana mamlaka gani kufunga baa?

    Kuna clip inasambaaa DC kafunga sijui danguro la Riverside. Ajabu katangaza bar zilizo karibu na danguro zifungwe. Hizi bar zinalipa vibali vyote manispaa na TRA. Kuna kiki za kulazimisha zisizo na msingi. We umekamata danguro umefunga bar zinakuhusu nini. Otherwise pale Mwananyamala hospt lile...
  5. Nifanye nini ili maombi yangu yajibiwe haraka?

    Hello Jf. Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi) Je, lengo lenu la kufunga lilitimia? Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
  6. Benki zinavujisha taarifa za wateja

    Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo 1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho, 2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...
  7. Mchezaji wa Timu gani atashindwa kufunga hapa?

  8. Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC

    Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo. Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
  9. Hivi lengo hasa la kufunga NDOA ni nini?

    Habari za jumapili wanajamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya waliofunga ndoa na wasiofunga ndoa.Ukiangalia kiundani wanandoa wengi wanachepuka balaa ni wazinzi wa...
  10. Ninawapongeza wananchi wa mzinga kwa kufunga barabara, serikali hii isiyosikia ichukue hatua

    Habari za wakati huu wana jamii forum bila shaka wote ni wazima na wale ambao mmeamka na changamoto mbali mbali Mungu awafanyie wepesi. Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni wa wananchi tunaoishi mzinga kwa miaka kadhaa sasa. Kumekua na mfululizo wa ajali kutoka Mbagala kokoto(mlimani) mpaka...
  11. Tunauza na kufunga pump za maji kwa ajili ya mifumo inayotumia nishati ya jua na umeme

    Furahia umeme wa nishati ya jua (Solar Energy) kwa gharama nafuu ambazo zitakupunguzia ulipaji wa bili kubwa za umeme,utumiaji mkubwa wa mafuta kwa ajiri ya uendeshaji wa pump za maji.Karibu tukufungie Automatic Power Backup System,Solar Pumping System za gharama nafuu kabisa. Tunapatikana...
  12. D

    Mambo ya chama Kigamboni yanapelekea kufunga daraja kwa saa zima watu wasiende kazini

    Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
  13. Yemen watangaza Kufunga Mediterranean Sea kwa meli yeyote inayoelekea Israel

    Hii ndo habari mpasuko kwa wale jamaa zetu wa Houth kutoka Yemen baada ya kufanikiwa kwa zaidi ya 100% kufunga bahari nyekundu (red sea) kwa meli kuelekea Israel sasa wamekuja na operation mpya. Safari hii wamesema meli zote bila kujali ni ya nchi gani ni marufuku kupita Mediterranean Sea...
  14. M

    Wakati unakua, nini kwenu mlikuwa mnatoaga nje asubuhi na kukirudisha ndani jioni muda wa kufunga mlango kabla ya kulala?

    Kwetu bwana , kulikuwaga na pikipiki ya babu, miaka hiyo mzee alishindwa kulitengeneza, likawa limekaa tu, sasa linalazwa ukumbini. Asubuhi mnaamka nalo kulitoa kwanza liwapishe, jioni ndo kitu cha mwisho kuingizwa, hata kama umelala bahati mbaya mzee atakuamsha ukaingize piki piki yenu. Basi...
  15. Elimu: Ikitokea refa akahusika kufunga goli kwa bahati mbaya, goli hilo siyo goli

    Kama utakumbuka, miaka ya 2018 kurudi nyuma, refa alizingatiwa kama mchezaji wa ziada na ilipotokea akahusika kwa namna moja au nyingine, matokeo yoyote yalikuwa yanahesabika bila tatizo lolote. Mpaka mwaka 2019, sheria ya refa kuwa sehemu ya mchezo iliondolewa hivyo, kwasasa ikitokea refa...
  16. Ulizingatia nini na kujiridhisha mpaka ukaamua kufunga nae ndoa?

    Ulizingatia umri wako na wake, nidhamu, heshima na utii, uaminifu, upendo, hekima, busara, fedha, mali, kazi yake, hali na maisha ya familia yake au cheo chake... Au ulizingatia siha na tabia njema, brain yake, IQ, elimu, rangi, dini, kabila, urembo, utanashati,sura, muonekano, umbo, kimo...
  17. R

    Jinsi ya kufunga siku 52 kwa Kila mwaka kirahisi kwa afya

    Salaam, Shalom!!! Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua watu wengi tangu zamani. Wiki Moja, Ina siku Saba, ukitenga siku moja iwe special Kwa ajili ya...
  18. S

    Hivi inawezekana kwa Waislamu kuwa na hesabu hususa ya siku za kufunga badala ya kutegemea kuonekana au kutoonekana kwa mwezi?

    Ni kitu ambacho siku zote sijakielewa, na labda ndugu zangu Waislamu watanisaidia hapa. Kufunga najua ni suala la kujipa muda wa kutafakari matendo na maisha yako na kuboresha uhusiano wako na Mwenyezi Mungu. Sasa sielewi kwa nini jambo hili lihusianishwe na kuonekana au kutoonekana kwa mwezi...
  19. Waziri wa Maji Jumaa Aweso asisitiza Mamlaka za Maji nchini, kufunga mita za malipo ya kabla

    WAZIRI AWESO ASISITIZA UTEKELEZAJI AGIZO LA RAIS KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI Ahimiza ufungaji wa mita za malipo ya kabla Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza Mamlaka za Maji Nchini ikiwemo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha agizo la Mhe...
  20. N

    Mkurugenzi wa Moshi anafunga biashara zetu sababu ya kuchelewa kulipa kodi ya pango, hii ni sawa?

    Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imekuwa na tabia ya kutufungia maduka na biashara za Wafanyabiashara wa Stendi Kuu ya Mabasi kinyume na maelekezo ya Serikali yaliyotolewaa Julai 1, Mwaka 2023 na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipokuwa Bungeni. Mwigulu alisema ikiwa kuna changamoto za mlipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…