Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) inayotoa huduma za usafiri wa umma kupitia barabara ya Morogoro Road, kuanzia Mbezi Luis na kituo kikuu cha Kimara kuelekea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, ikiwemo Kariakoo (Gerezani) na Kivukoni, imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya...
Anonymous
Thread
abiria
hasara
kuingia
mrefu
muda
muda mrefu
mwendokasi
udart
Habari wanabodi!!
Naleta taarifa hii ili mamlaka zinazohusika waweze kutolea ufafanuzi nini kinaendelea huko ndani.
Baadhi ya nchi za Afrika wameanza kuzuia watanzania kuingia na VISA on arrival. Nina uhakika wa asilimia 100 kwa nchi mbili e.g Madagascar.
Kwa Madagasca ilikua ni kuingia na...
Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
Polisi wamejaribu kuzuia baadhi ya waandamanaji kuingia katika eneo la biashara la katikati ya jiji la Nairobi (CBD) leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026, huku mvutano ukishuhudiwa barabarani.
Video iliyorekodiwa jijini inaonyesha baadhi ya waandamanaji wakikabiliana na maafisa wa polisi katika kile...
Mitsubishi ni moja ya waanzilishi wa Magari ya Umeme (EV) ambapo mwaka 2009 alitoa Mitsubishi i-MiEV.
Pamoja na kwamba mauzo hayakua ya kimapinduzi kama Nissan Leaf au Tesla, ila credits wacha apewe.
Mbali na i-MiEV, pia alitoa Minicab EV na Eclipse Cross EV. Hayo tuyaache.
Sasa, tuna RVR...
Kuoa au kuolewa na mtu asiye sahihi ni kubaya zaidi kuliko kuingia kwenye familia mbaya.
Hii ni kwa sababu mwenzi wako ndiye mtu utakayeishi naye kila siku, mtakayeshirikiana chumba kimoja, na unayemtegemea kwa usalama wako wa kihisia na kimwili.
Ingawa hali zote mbili zina changamoto kubwa...
Habari, wana-JamiiForums.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu.
Aidha, kiasi...
Anonymous
Thread
bodi
bodi ya mkopo
boom
chuo
chuo kikuu
heslb
hivi punde
kikuu
kuingia
malipo
mimi
mkopo
mkopo heslb
mwaka
mwanafunzi
mwanafunzi wa chuo
Mwenyekiti wa Taasisi ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad amevitaka vyama vya siasa nchini kuweka mbele maslahi ya taifa na kukubali maridhiano kwa ajili ya kulinda amani, umoja na maisha ya Watanzania.
Amesema maridhiano yanahitaji busara, hekima na utayari wa kila upande...
Wakuu habari ya jumapili?
Nimewahi kukutana na mwanamke aliye kwenye ndoa ambaye alionyesha wazi kuwa ananitaka kimapenzi.
Hadi ilifika hatua ya kuingia getoni kwangu, lakini niliamua kumkataa.
Mpaka najiuliza mwanamke ameolewa ila haridhiki
Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi wanataka abiria walipe ushuru wa kuingia ndani ya stendi.
Naenda kupanda kwa ajili ya safari yangu na nina tiketi ya Machine kabisa, then inakuwaje nilipie tena kuingia kwenda kupanda basi?
Tulitaka walau tupandie mjini kwenye office za mabasi ila...
Hizi ni classified approved & Trusted info ambazo hata yeye anazo. Huwezi teka na kuua ua hovyo ukadhani uko salama.
Kama anabisha afanye mkutano wa hadhara na wananchi waliomchagua aone😂
Cc.
Mafwele
Muliro
Mkunda
Kwenye maisha yetu ni rahisi sana kuingia kwenye changamoto za uraibu bila ya kutaka au kutotaka.
Lakini jambo la msingi ni kufahamu namna ya kumsaidia mtu.....
Lakini kabla ya hapo ni vema kufahamu kuwa huyu mtu anapitia hatua kama majaribio yaani experimentation ili kuingia kwenye uraibu...
Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliyemaliza kidato cha sita Kilangalanga Sekondari, nikiri kuwa ni kweli mtoto wangu hakulipa hiyo fedha kiasi cha sh. 40,000 kama ambavyo walimu walitaka kila mtoto alipe fedha hiyo wakidai ni kwa ajili ya kuwasimamia wajisomee usiku wakati wa prepo.
Walimu...
Anonymous
Thread
cheti
kisa
kuingia
mwanangu
sekondari
walimu
walipwe
watoto
Ndugu zangu Watanzania,
Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
HABARI Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, akisema Rais Volodymyr Zelenskiy anaweza kutegemea uungwaji mkono wa Ujerumani, huku mashambulizi ya Urusi yakizidi.
Merz, pamoja na wakuu wa kampuni kadhaa za ulinzi, amesema mashine ya vita ya Urusi...
Seneta wa Kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna amezindua rasmi The Equitable Party (TEP), akichukua uongozi wa chama hicho na kutangazwa kuwa mbeba bendera wake wa Urais kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Lakini TEP si chama kilichoanzishwa leo.
Dkt. Gilbert Marava Shanga, Mkenya anayeishi Marekani...
Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.
Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo...