kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ujasusi: Hatari Kuliko Vita Uwanjani?

    Hakuna kazi ya hatari kama Ujasusi majukumu yake ni kukusanya taarifa nyeti kutoka mataifa mbalimbali ili kulinda maslahi ya nchi au kusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa kuishauri serikali Ujasusi ni hatari zaidi ya Mwanajeshi kuwa katika uwanja wa vita akikumbana na risasi na mabomu kwa sababu...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Sheria ya uhaini haina faida kwa taifa, inawanufaisha wanasiasa zaidi kuliko wananchi

    Sheria ya uhaini ya sasa iko kisiasa zaidi na inawanufaisha wanasiasa pekee, imepitwa na wakati, irekebishwe isaidie kwenye nyanja za kiuchumi kama walivyofanya wenzetu wa China, Korea Kusini, Singapore, Botswana, Mauritius. Mfano leo Lissu akinyongwa taifa litapata faida gani. Sheria isomeke...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu Tlaatlaah inaelekea analipwa pesa nzuri kuliko Lucas Mwashambwa

    Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye. Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume mnaochagua pesa kuliko uanaume?

    Kijana wa kiume unaamua kuuzika uanaume wako na kugeuzwa na mwanaume mwingine kisa pesa? Dah! Nawaza namna mtoto wa kike huwa anaulilia na wewe vivyo hivyo? Kisa pesa? Kuna haja ya serikali kuja na mkakati maalumu ya kudili na hawa watu, mtu akigundulika ni shoga tia sindano kimya kimya...
  5. JamiiForums Tanzania Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
  6. JamiiForums Tanzania Mahinyila: Usaliti unaliangamiza sana Taifa kuliko CHADEMA

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema usaliti unaangamiza taifa zaidi, akisema baadhi ya Watanzania waliowahi kuaminiwa katika nafasi za umma wamewasaliti wananchi. Mahinyila amesema CHADEMA ni chama imara chenye misingi yake, hivyo uwepo wa wasaliti...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini binadamu ni viumbe katili sana? Kwa nini tunapenda sana kuuana?

    Wanasema sisi ndio God's perfect creation, ila ukiangalia kiundani hatuna hiyo perfection Yes we are intelligent than other species, yes tuna utashi lakini ndio most violent creatures on this planet Simple. Angalia vitu ambavyo binadamu wanafanya miaka nenda miaka rudi. Ulaya ni miongoni mwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ni ngumu kuliko tunavyodhani

    Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini walichopima ni malaria pekee. Ningeenda hospitali binafsi, vipimo hivyo ningetumia hata Sh6,000 tu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Dar,hapa mtaani inaonekana kuna wanawake wengi kuliko wanaume

    Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike, Tofauti na mkoani niliko toka hakuna mabinti wamejaa watu wazima hasa mabibi wajane,au ndiyo huwa wanakimbilia huku dar...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

    Baada ya kuachana na manzi ex wangu, nilijikuta na fall in love na manzi mmoja wa mtaani.. Tulikuwa tunapishana mara kwa mara, mtaani sa siku moja usiku tulikutana kiyepe point, so siku ile alikuwa kaagiza kidali na zege.. Mm kama kawaida yangu huwa na chukua ndizi za kukaanga na nyama choma...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

    Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuoa au kuhudumia kuliko kutoa elfu 50 kumwaga mbegu kwenye kinga kwa malaya

    Just imagine unapata namba yake kwenye social, unamtext, halafu anaforce umpigie simu sasa hivi. Sasa unaanza kuwaza, “Tutaongea nini mbele ya watu?” Unaanza kutafuta sehemu ya kujibanza ili mkutane na huyo escort sijui nini... eti anakutajia 50K! per bao 😭 Boss, 50K kwa kitendo cha dakika 1...
  15. JamiiForums Tanzania Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

    . Leo ngojea nijaribu kuandika kwa kifupi. Kaka zangu,kama una mke/familia ambae unampenda,unamjali na kumlinda kwa namna zote zinazomaanishwa na haya maneno na ikiwa kula yake,mavazi yake,malazi yake na huduma zote anazohitaji binadamu anazipata kutoka kwako halafu ikatokea mke huyu akachit...
  16. K

    JamiiForums Tanzania WANAKOELEKEA WADANGANYIKA NI KUBAYA ZAIDI KULIKO WANAKOTOKA

    Sasa hivi hali ni shwari kwa sababu wanaonufaika na mfumo wa sasa nchi ya wadanganyika ni wachache na wao wanafanya hivyo wakijua kwamba hawawezi kuondoka leo au kesho: Wamezunguukwa na wakwepa kodi ambao wanahakikisha wanafanya kila linalo wezekana aliyepo kwa kiti haondoki ili waendelee...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wajua mchawi anaweza kumuuwa mtu ampendaye huku analia kuliko ambao hawajui marehemu kafa na nini?

    Huu ni ukweli kabisa,kwanza siku zote kwenye chama cha kichawi hawatakagi kula nyama za mataira,yaani watu wenye matatizo ya akili,au mtu mwenye roho mbaya,wao humtaka mtu mwenye adabu heshima anayekubalika na jamii inayomzungu na mwenye uwezo wa kimaisha, Sasa pindi anapoambiwa mchawi amtoe...
  18. JamiiForums Tanzania Mbingu ya Waislamu inatamanisha na kusisimua kuliko ya Wakristo.

    Waislamu wao katika mbingu yao watakuwa wanapewa chochote wanachotaka, raha zote watapewa. Hadithi zinaenda mbali zaidi kusema wanaume watapewa wanawake mabikira 72 wanaojirudia ubikira wakifanya ngono. Kutakuwa na mito ya pombe, asali na maziwa na raha nyingine zote za kila aina unazotaka...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana uchungu sana na Nchi kuliko wananchi wenyewe!

    Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza. Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!? Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na...
  20. JamiiForums Tanzania Saa Sita Mchana: Muda Hatari Zaidi Kuliko Usiku wa Manane!

    Acha kuogopa usiku wa manane! Muda wa hatari zaidi wa kupoteza akili, kufanya maamuzi ya hovyo, au kupishana na majini si saa saba usiku... Ni SAA SITA KAMILI ZA MCHANA! Unadhani wazee walikukataza kuzurura njia panda au chini ya misonobari muda wa mchana kwa bahati mbaya? Hii hapa siri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…