Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara.
Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm niliingiziwa boom laki 7 kipindi naanza semester ya kwanza first year nikaingia kupatana.com...