kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tommy 911

    Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  2. Mwachiluwi

    CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje? Lissu acha...
  3. Waufukweni

    SoC04 HeWasha: Mfumo mpya wa kuwasha Umeme 'Automatic' baada ya kununua units bila kujaza token kwenye Mita

    Utangulizi Wazo kuu ni kuboresha mchakato wa ununuzi wa umeme ili kuruhusu kuwaka moja kwa moja (automatic) mara baada ya units za umeme kununuliwa na mtumiaji, mfumo huu (HeWasha) unalenga kuleta urahisi mkubwa kwa wateja, na kuondokana na changamoto ambazo kwa sasa wanazipitia kama kwenda kwa...
  4. MamaSamia2025

    Maria Tsehai acha upotoshaji kusema Lissu hajalipwa stahiki zake ili achangiwe kununua V8, VXR nyingine

    Nimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili kumrahisishia shughuli zake. Huo ni uongo kwa sababu Lissu mwenyewe alishakiri kulipwa stahiki zake...
  5. Lanlady

    Maamuzi ya kununua au kutengeneza 'robot' yalitolewa lini na ni nani walitoa maoni?

    Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge. Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi? Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi? Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia...
  6. ngara23

    Kumbe Kuna taratibu za kufuata ili kununua sumu

    Elimu haina mwisho Leo nilikuwa nasikiliza radio Fulani wakawa wanaeleza taratibu za kuuza na kununua sumu. Kumbe haitakiwi kununua sumu nyingi bila kibali cha mamlaka maana yaweza sababisha madhara Kwa jamii Labda mtu anaweza akawa na nia ovu ya kuua halaiki ya watu na mifugo. Labda kuweka sumu...
  7. Wizzdude

    Ni wapi ninaweza kununua haya madumu kwa hapa Dar?? (60 litres)

    kama hayo ya chini.
  8. D

    Wageni wanapewa vibali vya kununua ardhi Zanzibar na Tanganyika. Mtanganyika hawezi nunua ardhi Zanzibar. Mbona sielewi?

    Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
  9. Akthoo

    House4Sale Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kibaha

    Habari za mvua Wadau. Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kibaha. Kwenye Mfuko wa shati kuna TZS. 30M. Mawasiliano piga 0784636291. Ahsante.
  10. Lomaa lolusa

    Nahitaji shamba la kununua

    Nahitaji shamba la kununua hapa morogoro mwenye shamba naomba anijulishe
  11. Lomaa lolusa

    Shamba la kununua morogoro

    Namtafuta shamba la kununua morogoro
  12. Apollo one spaceship

    Nataka kununua Toyota Rav 4

    Anayeuza hiyo gari contact karibu, nipo Serious. Budget ni milioni 7.
  13. CodeX

    Natafuta Kununua Blog yenye Adsense

    Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06 Shukrani
  14. CodeX

    SOFTWARE Natafuta Kununua Adsense Account yenye Site

    Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06
  15. M

    Je, ni sahihi kununua shamba ambalo lilikuwa na mgogoro kwa zaidi ya miaka mitano?

    Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani. Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie kilimo kipi Kwa maana nikodi mashamba au ninunue ndipo nikapewa mchongo na mtu ambaye nafahamiana naye...
  16. Beberu

    Nitajuaje simu ninayotaka kununua ni ya mkopo?

    Wakuu, nitajuaje kama simu ninayotaka kununua ni ya mkopo? Yaani hizi za hawa wanaouza kwa mkopo?
  17. Lomaa lolusa

    Naweza kupata shamba la kununua morogoro kwa installment!?

    Mm ninakipato Cha kawaida nataka nipate shamba ambalo ntalifyeka lakini nitalipa kwa installment
  18. Minjingu Jingu

    Ukiacha electronics kununua Zanzibar suala la nguo na viatu

    Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam? Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
  19. Grand Canyon

    Kabla ya kununua gari, hakikisha unajua bei za spea za gari unalotaka kununua

    Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba ikiwa alinunua gari milioni 100 hashindwi taa ya 1.5 m. Baadhi ya magari ni ya bei ya kawaida 15-30...
  20. Mad Max

    Baadhi ya Features za kuzingatia utakavyopanga kununua gari lako lijalo

    Wakuu kwema. Najua kwa namna moja au nyingine, kuna Mjapan uko anazinguka na gari lako bila yeye kujua. Siku zake zinahesabika. Sasa, gari siku hizi halijawa "kifaa" cha kukutoa point A kwenda B hafu basi. Hapana. Izo zilikua enzi za Land Rover 109 sio sahivi. Gari imekua zaidi ya chombo cha...
Back
Top Bottom