kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu ujinga mpaka lini tujiandaeni kwenda road

    Tuachane na mambo ya Lema Tuachane na kifo Cha kaka yake Lissu Twendeni road tukamkomboe Lissu Endapo watamuukumu kumfunga tuingie barabarani Huu utakuwa ni ujuwa Kama atahukumiwa halafu tubaki ndani na wahuni waendelee kula mvinyo Leo kwake kesho kwako twendeni tukahesabiwe.
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuchukua kabla hauja Gusa button ya kuhama mji kwenda kutafuta mafanikio sehemu nyingine.

    Jumapili karmu Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago: 1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakatiโ€”unajua unaenda kufanya nini hasa 2. Andaa...
  3. JamiiForums Tanzania Je Sheria za Kimataifa (Nelson Mandela Rules), Rule 70 inaruhusu Mahabusu kwenda kuzika ndugu?

    Salaam Wakuu, Naomba kuuliza, Sheria za kimataifa za matibabu ya wafungwa, Nelson Mandela Rules, Rule 70, zinatoa haki kwa mfungwa, Mahabusu kuweza kuruhusiwa kwenda, akiwa chini ya ulinzi au peke yake, kumwona ndugu wa karibu aliye katika hali mbaya sana au kuhudhuria mazishi ya ndugu wa...
  4. JamiiForums Tanzania James Kanyotu: Mkuu wa idara ya ujasusi wa Kenya aliyeamua kwenda kaburini na Siri za Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi.

    Huyu bwana Kwa miaka 27, alihudumu chini ya marais wawili, na alifanikiwa kuvuka misukosuko ya kisiasa, alijua siri za watu wenye nguvu na akajenga himaya ya kibiashara iliyokuwa na thamani ya mabilioni ya shilingi. Hata hivyo, kwa sehemu kubwa ya kipindi hicho chote , Wakenya wengi hawakujua...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jina la kampuni ya usafirishaji mizigo toka Dar es laam kwenda Songea

    Ndugu wapendwa! Nataka kusafirisha mizigo yangu toka Dar kuja songea lakini sijui ni kampuni zipi za usafirishaji zinahusika. Mzigo ninaotaka kusafirisha ni freezer na sofa. Hivyo naomba mwenye kujua jina la kampuni inayotoa huduma hiyo pia na sehemu inapopatikana hiyo kampuni. Nawasilisha...
  6. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2022 land cruiser Prado tx ya kwenda iko sokoni

    Bei/Price๐Ÿท๏ธ๐Ÿ‘‰๐ŸพTSH 159.9M Call๐Ÿ“ž+255 747 999 927 LAND CRUISER PRADO TX Year: 2022 Engine: 2TR-FE Mileage: 45,800+ Transmission: AUTOMATIC ๐Ÿ’ซSunroof ๐Ÿ’ซFog Lights ๐Ÿ’ซCruise Control โœ…100% Duty Paid โœ…Swap Deals Available โœ…Zero Registration Cost
  7. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa

    Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa. Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Timu 4 za Tanzania zimefuzu kwenda hatua ya Makundi CAF, hongereni sana

    Ligi ya Tanzania imeendelea kuonesha kuwa inazidi kukua kwa timu zake 4 kufuzu kwenda hatua ya Makundi, Simba, Yanga zimefuzu klabu bingwa kwa kutoa kichapo kizito kwa timu walizokuwa wanacheza nazo Huku, Azam na Singida black stars wakiipeperusha bendera ya Nchi kwenye kombe la shirikisho.
  9. JamiiForums Tanzania KERO Serikali ilipe hela za likizo kwa wakati kuwezesha watumishi wakati wa likizo

    Serikali tunaomba ihakikishe Watumishi wa umma tunalipwa fedha zetu za likizo kabla ya kuanza likizo, ili kutuwezesha kusafiri kwenda nyumbani na kutumia likizo zetu kwa utulivu. Hatua hii itawasaidia watumishi kukidhi gharama za usafiri na mahitaji mengine muhimu tunapojiandaa kwenda kuungana...
  10. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2025 MERCEDES BENZ G450d YA KWENDA IKO SOKONI

    Bei/Price๐Ÿท๏ธ๐Ÿ‘‰๐ŸพTSH 680M Call๐Ÿ“ž+255 747 999 927 MERCEDES BENZ G450d Year: 2025 Engine: 3.0L Mileage: 8,000+ Transmission: AUTO ๐Ÿ’ซSunroof ๐Ÿ’ซSport Rims ๐Ÿ’ซ3-Diff Locks Fuel Usedโ›ฝ๏ธ๐Ÿ‘‰๐ŸพDIESEL โœ…100% Duty Paid โœ…Swap Deals Available โœ…Zero Registration Cost
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto akitaka kwenda kusoma nje anapimwa Reading, Listening, Speaking and Writing. ila necta wanapima tuu writing

    Tutafika kweli? Kuna haja ya english language kuwa na speaking, listening and reading Practical test Yaani una division one lakini bado lugha.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania anapaswa kuwa na huruma na Lissu. Hata mke wake hajawahi kwenda kumuona gerezani

    Ndugu zangu Watanzania, Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu. Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini Watanzania wengi huwa wanalazimsha watu waende kwenda kwenye misiba?

    Nimeona mwanafunzi mmoja wa chuo anaitwa Kiriba analalamika CHADEMA hawakwenda kwenye msiba wa Samia. Huwa naona pia Steve Mengele akilalamikia kwa uchungu sana wasanii wakikosa kwenda kwenye msiba. Ni Watanzania wengi huwa naona wana hii tabia ya kulalamikia au kulazimisha watu kwenda kwenye...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Usafiri kutoka Mbagala mgeninani kwenda kariakoo/steshen ni tatizo

    N lini LATRA watafuatilia suala la daladala za vikunai - gerezani /steshen kukatisha route? Nu miaka mingi sasa magari yakanatisha route na kuishia mbagala kuu ilihali yanapaswa kufika mgeninani had vikunai
  15. JamiiForums Tanzania Morogoro: Serikali yatuma Wataalamu kwenda kumhoji Kakakuona kama kuna mvua ya El nino yenye Maafa

    Kakakuona aloonekana Kilosa kasema kwamba mvua zitanyesha za Kilimo. Hivyo Watanzania Mumehimizwa kumzingatia Kakakuona. Mnyama aina ya Kakakuona ameonekana katika kata ya Kimamba,Kilosa ,mkoani Morogoro. Wazee wa wilaya hiyo wamefanya mila ya kumuwekea vitu mbali mbali ambapo atakachochagua...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Nurses wenye guts na wanaotamani kwenda Canada, British Columbia inakuita

    Haya malink hayo jilipue ila consistence ya kufuatilia na kufuata maelekezo inahitajika sio narenare ya kusubiri ulishwe kwa kijiko kibongobongo, mambo ya spoon feeding yale yetu. Ukiweza kuruka viunzi vyote wanakupa bursary kabisa ukaanzie maisha...
  17. JamiiForums Tanzania ๐…๐ž๐ฆ๐š๐ญ๐š: Wachimbaji Madini waliokwama kwenda Canada watarejeshewa fedha zao Oktoba 23, 2026

    ๐“๐€๐๐†๐€๐™๐Ž ๐Œ๐€๐€๐‹๐”๐Œ๐” ๐Š๐–๐€ ๐–๐€๐’๐€๐…๐ˆ๐‘๐ˆ ๐–๐€ ๐’๐€๐…๐€๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐‚๐€๐๐€๐ƒ๐€ ๐–๐€๐๐€๐Ž ๐ƒ๐€๐ˆ ๐…๐„๐ƒ๐‡๐€ ๐™๐€๐Ž ๐Š๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ ๐œ๐จ๐ง๐Ÿ๐ž๐ซ๐ž๐ง๐œ๐ž ๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐ฐ๐š ๐’๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ฅ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ฆ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ฐ๐š๐œ๐ก๐ข๐ฆ๐›๐š๐ฃ๐ข ๐Œ๐š๐๐ข๐ง๐ข ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐๐๐ฎ๐ ๐ฎ ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐–๐š๐ฆ๐›๐ฎ๐ซ๐š ๐๐ข๐ง๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ฒ๐š๐ค๐ž, ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ฉ๐จ ๐ง๐š ๐ฎ๐ญ๐ž๐ค๐ž๐ฅ๐ž๐ณ๐ฐ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ก๐š๐ฒ๐จ ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฐ๐š๐ง๐ ๐จ ๐ค๐ข๐ค๐ฎ๐›๐ฐ๐š ๐›๐š๐š๐๐š ๐ฒ๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ...
  18. JamiiForums Tanzania Jasmine anywa sumu na kujinyonga baada ya kunyimwa nauli ya kwenda Singida na mumewe.

    Jasmini Hamisi, mkazi wa mtaa wa Murieti, kata ya Murieti jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kunywa sumu na kisha kujinyonga, siku moja baada ya maelezo kuwa aliwahi kumwomba mumewe nauli ya kwenda Singida kuwasalimia wazazi wake. Inaelezwa kuwa Jasmini alimwomba mumewe, Hamisi...
  19. JamiiForums Tanzania Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

    Naamini kuwa dini ni kama mtego tu, Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua. Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi. Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha. Watu wako so brainwashed mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Mnashangaa John Pambalu kukamatwa, kwanini hamjiulizi aliondokaje Tanzania kwenda Kenya kwa Maria Sarungi

    Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake. Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ