Oktoba 28, 2026, mchoro halisi wa msanii maarufu wa Tanzania, Edward Saidi Tingatinga, uliuzwa kwa KSh milioni 7.631 (takribani TSh milioni 155) katika mnada wa sanaa ulioandaliwa na Art Auction East Africa jijini Nairobi, Kenya.
Mchoro huo uliochorwa mwaka 1971 na kupewa jina la Untitled...