Igweeeeeeeee, hii ni zaidi ya moto ask me not... 🤐😭
Ni hivi, baada ya ule muswada wa wana idara wengi wakapiga makofi kumbe yajayo ni furaha zaidi.
Baada ya kujua wanoko hawa kupitia vijana wanaonukia na kulamba maji ya bendera kwa Uhai ama kifo, muswada ukapelekwa bungeni. Kitalu wakapitisha...