mafisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 Luhaga Mpina: Unakuta waziri mwizi, katibu mkuu mwizi ukimbana kwenye wizi anasema wewe huipendi CCM

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani...
  2. M

    Kukamilika kwa bwawa la Mwl Nyerere kwapeleka kilio kwa mafisadi, Kwenye ukame huu wangewapiga watanzania mabilioni ya pesa

    Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?. Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi? Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika...
  3. K

    Mafisadi wengi wanafisha pesa nje serikali wekeni majina

    Hii List serikali wanayo lakini kwasababu wengi ni vigogo wa CCM hawawezi kuweka wazi. Pesa inasemekama ni zaidi ya trilioni moja imefichwa nje
  4. Nyerere aliwashtukia hawa Machawa na mafisadi. Alijua mwishowe wangekuja mgeuka tu

    Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana" Akajua haya manyang'au yanajisemea yenyewe.yanataka yaendelee kujineemesha na wizi. Alijua hayana lolote la ukweli. Akaangalia mabadiliko...
  5. Genge la Mafisadi na Viongozi Wastaafu waliotumika kuchafua Utawala wa Magufuli

    Hizi ni habari za ndaaaaaani kabisa ambazo wengi hawazijui na wengine wanazijua ila wameamua kunyamaza kwa sababu kadhaa. Magufuli hakuwa Malaika. Hilo lazima tukubaliane kama Binadamu kama Rais kuna makosa alifanya. Tuendelee na mada yetu. Mara baada ya Magufuli kuingia madarakani haraka sana...
  6. Unaibaje?

    Ni kawaida kwenye maisha yetu watanzania: Tukiona mtu mweusi ana hela tutahoji sana, ila akiwa mzungu, mwarabu, muhindi ama shombeshombe hatuoji, tunaamini ni pesa zao halali na tutafosi tu narratives kwamba wajomba zake wana visima au ana undugu na Bush, Obama na kadhalika. Kwahiyo wewe kama...
  7. CNN Video: Bashar Al Asad aliyekuwa Rais wa Syria ni kielelezo cha watawala walivyo na tamaa na mafisadi. Angalia utajiri wa magari aliyojilimbikizia

    Hapa duniani jamani tunapita tu.... Mtu aliye kiongozi katika nafasi ya u - Rais au nyingine yoyote serikalini unawezaje kuwa na mali zote hizi wakati muda wako mwingi, akili na mawazo ni kuwatumikia wananchi..? Umezipata wapi mali hizi kama si kuiba na kufisadi nchi huku watu unaowaongoza 85%...
  8. Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

    Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako? Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi? 2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
  9. F

    Rais Samia angekuwa mkali kwa wazembe, wezi na mafisadi nchi yetu ingefika mbali sana kimaendeleo

    Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi hii. Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa...
  10. Wimbo wa Taifa Unapaswa kubadilishwa haukisi hata kidogo" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani hawa wala rushwa? Mafisadi?

    Nyimbo ya Taifa ya Tanzania unapaswa kubadilishwa haukisi na Aina ya mashairi yanayopatikana kwenye hizo nyimbo yenu eti" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani? Hawa wala rushwa? Mafisadi? Waiba Mali ya umma?kiukweli nachukizwa na Huu Wimbo WA Taifa Popote pale ukiimbwa Katika vitu ambayo...
  11. H

    SoC04 Taifa ni kama meli

    Aaah jamani humu nyote muwazima haya mm Nina mchango kidogo kwenye sekta ya vyombo vya baharini kama tunataka nchi yetu ifikie maendeleo kwa haraka, kwanza Jambo la mwanzo la kufanya ni kuwa na mashirikiano mema Kati yetu raia pamoja na vyombo vya usalama wa baharini kwa sababu tukienda kinyume...
  12. V

    Ukiona hadi mafisadi wanaikosoa serikali lazima uogope

    Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini. Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini. Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake. Ukiona watu km hawa...
  13. Rais anafahamu kuwa viongozi wengi Serikalini wanategwa ili waangushwe na mahafidhina, mafisadi na wezi?

    * RC Makonda alisikika akisema kuwa watu wanamfuatilia, * Balozi Polepole akitokea Arusha siku moja alikuta nyumbani kwake kaporwa nyaraka, * Mhe Ole Sendeka majuzi kakoswakoswa kuuawa kwa risasi wkt akiwa ktk gari; * Mhe Dugange alipopata ajali ya gari mwaka jana alisingiziwa kuwa ktk...
  14. Katibu Mkuu ADC Doyo autaka Uenyekiti ADC, asema chama chao hakiwezi kulea mafisadi

    https://www.youtube.com/live/qQ_4w2DCSSY Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha ADC, Doyo Hassani Doyo anatarajia kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti Taifa, Juni 11, 2024. Doyo anakwenda kumrithi Mwenyekiti Taifa, Hamad Rashid aliyemaliza muda wake Kikatiba. Amesema lengo kuu la kugombea nafasi...
  15. Picha: Jembe liliokubalika hayati Magufuli ambalo Mafisadi na vibaraka wa Mbowe wanalichukia

  16. Mahakama ya mafisadi ni imeenda kusipojulikana

    Baada ya hayati Magufuli kujitahidi kushawishi Taasisi ya Mahakama kuanza kazi ya kutunga sheria na utaratibu wa mahakama ya Mafisadi,inaonesha nchi haikuwa tayari kulipokea wazo hilo kwani hadi hivi sasa hatujaona Mtu akifunguliwa mashtaka ya ufisadi na huenda kwa sababu wenye Mali ndiyo walaji...
  17. J

    Serikali ya Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete ndio ilithubutu Kuwafunga Jela Mawaziri na Makada wa CCM Mafisadi!

    Wote tunakumbuka Daniel Yona alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Basil Mramba alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Rajab Marandu alifungwa Jela kwa Ufisadi wa EPA Hii ndio rekodi pekee ambayo Shujaa Magufuli aka Jiwe hakuivunja Ramadan Kareem 😄
  18. Umeme na Sukari ni njia pekee ya mafisadi kuwaibia Watanzania. Hawatakubali kutatua tatizo hili

    Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu. Sukari huwa dili la mafisadi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa ambao uhaba ukiwepo huagiza Sukari kwa bei...
  19. Hivi Makonda amepotelea wapi? Mbona PM Kassimu anahaha kupambana na mafisadi dagaa kila kukicha?

    Hivi hawa CCM walishatuona maboya? Leo hii PM Majaliwa amegeuka kuwa kamanada wa Takukuru Tanzania nzima. Kila wilaya ina ofisi za Takukuru na wachunguzi kibao. PM Majaaliwa halijui hili? Pesa anazotumia kuzunguka si zingejenga shule kibao? Huyu Makonda mwenye mikwara mbuzi majukwwani mbona...
  20. Mahakama ya Mafisadi imeishia wapi?

    Mara baada ya Rais John Pombe Magufuri kuapishwa, Kashi kashi na mbwe mbwe za kiutawala zikaanza... Tumbua tumbua, ziara za kushtukiza, kugawa mabunda ya Fedha hadharani kwa watu binafsi na taasisi za umma zenye uhitaji ni baadhi ya mambo tuliyoyashudia ktk utawala wake Marehemu JPM. Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…