Mimi najuta kwanini nilioa mapema. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila...