Kumekuwa na msemo mmoja mali utaipata shambani,, siju moja nilikua katika safari ya kikazi japo ni kazi ya muda hapo mkoani geita,, wale wenyeji wa geita mnaelewa unakuta kikosta (daladala) kina makonda zaidi ya sita wapiga debe 6 kuna mzee akasema mnatupotezea mda shida vijana wamejazana hapa...