makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutokana na maendeleo ya Technology ni muda muafaka wa makanisa kuendana na wakati

    Habari za muda huu wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri sana, lakini naona kuna haja ya kuendana na mabadilko ya technology ilikua kuokoa muda Mfano 1)...
  2. Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

    Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja. Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema. Washikaji...
  3. Mchungaji Moses Magembe , Kwa Makanisa ya Jumapili, ndio Mchungaji Pekee mwenye Mafundisho yanayotokana na BIBLIA

    Kuhusu Mafuta ya Upako na mavitu ya aina hiyo https://youtu.be/xx8rWWCIg6c?si=nbltSobDGPsezWPO https://youtu.be/I4OtZ1AoGcU?si=2XR4Yn3OPD2ZLN8l Msikilize hapa kuhusu Hawa wahuni wa Sadaka za kuvunja laana ,kukomboa familia https://youtu.be/FkDv56OFfU4?si=jN_fOWdHzX-6RLlY
  4. Soon tu aliyezaliwa 2002 hatokuwa mtoto tena

    HERI YA MWAKA MPYA 2025 aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90 sooon tuu hivi vidogo vyetu vya 1998,1999 ,2000,2001,2002 na hata 2003. navyo vitasema FINALY CHILDHOOD...
  5. Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya shughuli za maonyesho ya mazingaombwe mashuleni na mitaani, sasa wamefungua makanisa

    Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua. Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
  6. G

    Naupenda uislam tatizo wakijaa kunaanza matukio ya kushambulia wakristo, kulazimisha sheria za kiislam, kuweka vizuizi vya makanisa, n.k.

    Uislam ukiwa na watu wachache kwenye nchi au sehem yenye mamlaka ni dini nzuri lakini tatizo ni pale wanapokuwa wengi balaa ndipo huanza. Kunazuka mashambulizi dhidi ya wakristo kwa kuonekana ni maadui wa uislam (wao huita makafiri) - Basi hapa huzuka matukio ya wakristo kupigwa, kubomolewa...
  7. T

    Tetesi za uwepo wa Makanisa ya kitapeli na vile yanawatapeli Watanzania inatisha sana

    Ndugu zangu watanzania leo nakuja na habari yakutisha sana naandika hii habari kwa mwenye macho fungua macho ila upo trapped. Awali ya yote kabla yakuandika kile nataka kukiandika nataka kuseme Yupo Mungu wa kweli na Yesu anatawala sasa na hata milele. Amen Kile kinatokea ktk Tanzania kwa sasa...
  8. J

    Makanisa mengi yametoka kwenye majukumu yao ya msingi

    Habari wandugu, Makanisa mengi ya kisasa yamekuwa yakiwapotosha waumini wao kwasababu kubwa ya kuacha majukumu yao ya msingi na kufanya majukumu yasiowahusu. Jukumu la msingi la kanisa ni kuwasaidia waumini wao waboreshe mahusiano yao na Mungu kwa kutenda mema na kuacha mabaya. Lakini siku...
  9. Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  10. Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

    Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo. Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
  11. Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

    Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule. Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
  12. R

    Makanisa ya kiroho yaanze mfumo wa kuhakiki sadaka na matumizi yake kudhibiti wahubiri matapeli

    Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
  13. M

    Kanisa lilipiga vita umasikini, makanisa ya leo mbona tofauti sana?

    Leo nimewiwa mno kulitafakari kanisa la zamani, la enzi za akina Petro na Paulo. Paulo anakiri wazi, "Yesu Kristo alikuwa masikini, ili sisi tuwe matajiri". Paulo aliongoza michango MINGI kutoka kwa waumini wale MATAJIRI, ili kuwachangia/kuwainua waumini MASIKINI. Leo hii haya mbona...
  14. Israel wanaendelea kushambulia makanisa huko Lebanon

    Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon 🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon. How could any Christian support these satanic terrorists?
  15. Ushauri: Makanisa ya taasisi (umma) ajirini kampuni za usafi na siyo kuwapangia zamu wauumini

    Wakuu ni kama mawazo maoni au ushauri. Kuwepo na baadhi ya makanisani ya umma yenye majina makubwa Jumapili sadaka ya jumla ikisomwa si chini ya million 3, 5, adi kumi kwa yalio mjini, ila usafi unafanywa na waumini kwa kupitia jumuia. Utakuta jumuiya flani ina zamu ya usafi, pesa zote zinazo...
  16. N

    KERO Makanisa ya kilokole ni hatari, yanasambaratisha familia

    Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao. Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake...
  17. DC Meatu asitisha shughuli za Ibada Makanisa yasiyo na vyoo

    Mkuu wa Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Mhe.Faudhia Ngatumbura amesitisha shughuli za ibada katika baadhi ya makanisa Wilayani Meatu mpaka Makanisa hayo yatapokuwa yamejenga vyoo ili kuwanusuru Wananchi kuugua ugonjwa hatari wa Kipindupindu. Amezitaka Taasisi Dini Wilayani Meatu kuwa Mfano wa...
  18. K

    Wachokonozi walindwe ili wanufaikaji wa makanisa na misikiti wasiwadhuru

    Habari ndugu, Wachokonozi ni vijana wa kitanzania wanaotengeneza digital contents kwenye social media. Hawa vijana wana talent ya ajabu sana. Wanakufanya ufikilie nje ya box. Mambo mengi yaliyofichwa kwenye makanisa, misikiti na Dini kwa ujumla, Hawa jamaa wameyaweka wazi. Kama ilivyo...
  19. Haki huinua taifa MITHALI 14:34 Umoja wa Makanisa ya Kipentekosti. (CPCT) mko wapi?

    Bwana yesu asifiwe watumishi wa wa Mungu? Tumeona mabaraza mbalilmbali ya viongozi wa kidini viki paza sauti zao bila uoga juu ya mauwaji, utekaji, kumizwa? Lakini hiki chombo muhimu( CPCT), SIJAWAI SIKIA tangu nizaliwe almost 50 years kukemea, kuonya, kushauli, kupendekeza jambo juu ya...
  20. T

    Makanisa na misikiti mpaze sauti kuhusu utekaji na kuua watanzania wasio na hatia

    Hali ya usalama ya sasa si nzuri watu wanapotea mno makanisa nayo yamekuwa chawa hayasemi mpaka watu wanauawa No hii haiwezekani waumini wenu kupotezwa na nyiniyi mnachekelea utume wenu uko wapi. Au na nyinyi ni sehemu ya yanayofanyika!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…