Habari, naitwa Fadhili, ninaishi Dar es Salaam na ni Wakala Mkuu wa HALOPESA, Tawi la Temeke.
Mawakala Wakuu wa HALOPESA hadi leo hatujalipwa stahiki zetu za kamisheni za mwezi Septemba. Kuna bosi mpya wa HALOPESA aliyeanza kazi mwaka huu 2026, anaitwa NGHIEM ANH THONG, raia wa Vietnam. Tangu...