Hawa magaidi ya waislamu, Houthi wamekua wakifanya maugaidi ya kidini huko mbali na Israel, walikua wanaonywa mambo yao hayo yaishie huko, juzi walithubutu kufikisha drone moja Israel, wamepokea kipigo ambacho hawajafanyiwa siku nyingine, yaani ukitazama videos kwa kweli hiki ni kipigo...