mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SHANGINGI LA HUMAN TRAFFIC LA MBUNGE LABADILISHWA JINA LIKIWA NA POLISI KUSHIRIKIANA NA TRA

    It is unbelievable ngoma imechezeshwa na TRA na POLISI kuokoa jina la Mbunge Koka anaefanya biashara ya binadamu ambae yuko Chama Tawala. Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa...
  2. Mbunge gani harudi 2025?

    Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatabirika sana hasa kutokana na ushawishi wa chama cha mapinduzi. Ni wazi hata uchaguzi mkuu wa 2025 unatabirika japo utakuwa mgumu ikilinganishwa na ule wa 2020. Ni wazi CCM bado itadhibiti bunge baada ya uchaguzi mkuu wa 2025. Hili ni kweli ndugu zangu (si...
  3. R

    DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  4. U

    MBUNGE WA NYAMAGANA MWANZA UNAFANYA NINI??

    Habari wadau.Napenda kumpa taarifa mbunge wa NYAMAGANA bwana mabula kuwa ukiondoa matatizo mengi yaliyopo wilaya ya hii ambayo ni kitovu cha uchumi wa mkoa kama ukosefu wa huduma ya maji na barabara mbovu kuna aibu ambayo naomba yeye binafsi aifuatilie.Hii aibuu ya watoto kwenda na magunia...
  5. C

    Mbunge wa Ngorongoro, hasikiki, kulikoni?

    1. Ngorongoro kuna mbunge? 2. Ni nani (jina), anatoka Chama gani? 3. Ameona madhila ya Wana-Ngorongoro? Anapata usingizi kweli? 4. Uchaguzi 2025 atagombea tena ubunge?
  6. Peter Salasya: Mbunge wa Mumias na Safari ya Mafanikio katika Siasa na Inspirational kwa vijana

    Peter Salasya ni mbunge wa Mumias, Kenya, ambaye alingia madarakani akiwa na miaka 32. Kabla ya kuingia kwenye siasa, maisha yake yalikuwa na changamoto nyingi na alipitia vipindi tofauti, akijaribu kutafuta njia yake. Ingawa alikabiliwa na vikwazo, alijitahidi na hatimaye alifanikiwa kupata...
  7. Je angela kairuki hatakuwa mbunge tena baada ya kuteuliwa kuwa mshauri wa Rais

    Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
  8. Picha lilianzia pale Balozi wa Nchi dume alipoanza kufuatiliwa nyendo zake na yule Mbunge mustaafu

    Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake. Kutano la kwanza lilipuuzwa. Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
  9. Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

    Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya. Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
  10. Pre GE2025 Video: Miraji Mtaturu, Mbunge wa Singida Mashariki Akataliwa kwa kuzomewa na wananchi

    Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
  11. J

    Mbunge wa Kilombero amuomba Rais Samia kutazama upya bei ya ushuru wa mazao

    Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi. Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
  12. Mbunge Zaytun Swai Atimiza Ahadi Yake ya Milioni 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha

    MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi yake aliyotoa kwa kutoa Shilingi Laki Tano (500,000) kwa kila Kata ya Mkoa wa Arusha kwaajili ya...
  13. B

    Pre GE2025 Mbunge Samizi atembelea Gereza la Nyamisivyi Kibondo kuwaona wafungwa, atoa msaada wa sabuni na mifuko 100 ya simenti

    🗓️ 3 AUGUST 2024 🗒️ Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Jana ametembelea GEREZA LA NYAMISIVYI {W} Kibondo, lengo ikiwa ni kuwaona wafungwa na kuwapa sabuni kwa ajili ya mahitaji yao pamoja na kukabidhi Simenti mifuko 100 alizoahidi ikiwa ni moja ya kuunga mkono juhudi za...
  14. Mbunge Christina Mnzava Agawa Vifaa vya Michezo kwa Wanafunzi Shinyanga Vijijini

    MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI SHINYANGA VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava amegawa vifaa vya michezo kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kaselya iliyopo katika Kijiji cha Igegu Kata ya Mwamala Wilaya ya...
  15. S

    Spika Tulia na Bunge lake wanatosha kwa Spika kutoliongoza Bunge kutengua kanuni muda wa Bunge uongezwe, na wabunge kutoomba muongozo wa Spika?

    Katika mkutano wa Mbunge Mpina na mawakili wake, moja ya jambo lilionishangaza zaidi ni madai kuwa Spika hakuliongoza Bunge litengeu kanuni ili wapitishe azimio la kuongeza muda wa kikao cha Bunge kilichopaswa kuisha saa 1:45 usku kama kanuni/taratibu za vikao vya Bunge zinavyotaka. Yaani...
  16. Mbunge Ummy afanya mkutano wa hadhara kata ya nguvumali.

    #OdoUmmyJimboni #SamiaMitanoTena ---- MBUNGE UMMY AFANYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA NGUVUMALI. Mbunge wa Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu tarehe 27/07/2024 amefanya Mkutano wa hadhara kata ya Nguvumali kwa ajili ya kueleza Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha 2020 - 2025...
  17. B

    Pre GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa CCM Mbarali afunguka mazito "Wamenipiga fitina nzito"

    27 July 2024 Ubaruku, Mbarali Tanzania Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana .... Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea asiyejulikana... Modestus D. Kilufi asema CCM haipendi mtu msemakweli na aliyemchapa kazi na aina hiyo...
  18. Pre GE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.” Amesema hayo katika mkutano na...
  19. Mbunge Aysharose Mattembe Ashiriki Baraza la UWT Wilaya ya Singida

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe alishiriki na kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Kikanuni la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Wilaya ya Singida DC. Akizungumza katika Baraza hilo, Mhe. Aysharose Mattembe alisisitiza mambo yafuatayo ikiwemo...
  20. Mbunge Wambura Chege: Sitarudi Nyuma, Nimechaguliwa na Wananchi, Lazima Kuwatumikia

    MBUNGE WAMBURA CHEGE: "SITARUDI NYUMA, NIMECHAGULIWA NA WANANCHI LAZIMA KUWATUMIKIA" "Tumezaliwa tunazungumzia changamoto za Madaraja, Maji na maeneo mengine. Nimeamua kujikita kwenye shughuli za Maendeleo lakini kuna watu wanapita kutafuta namna ya kutugawa. Naomba tushirikiane tushikamane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…