miaka 20

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimeshtuka sana baada ya kugundua wimbo wa Hunifahamu wa Dully Sykes umetimiza miaka 20, kweli nimezeeka sasa

    Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa. Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo . Nikashtuka leo ni mwaka 2005 takribani miaka 20 imetimia, hakika sasa mimi ni mzee. Yuki wapi aliyesema uzee...
  2. Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  3. Ahukumiwa miaka 20 jela kwa kumiliki fisi kinyume cha sheria

    Emmanuel John (31), Chifu mkazi wa Kijiji cha Kilulu wilaya ya Bariadi kwenda jela miaka 20 na kuchapwa viboko 12 baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki fisi kinyume cha sheria. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatano, Machi 12, 2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa...
  4. Mganga wa kienyeji ahukumiwa miaka 20 jela na viboko 12 kwa kosa la kufuga fisi.

    Nani anaikumbuka hii kesi ya mganga wa kienyeji aliyekamatwa na fisi? amehukumiwa leo. Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12 Emmanuel John (31), maarufu kama Chief wa Kilulu, kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali aina ya...
  5. Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
  6. R

    ikitokea ukapata nafasi ya kurudisha nyuma muda ukiwa na miaka 20, ni vitu gani usingerudia kuvifanya

    Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa shida kama ningepata mkopo ila nikizifikiria milioni 12 za wazazi naumiaga, nimejipata nje kabisa...
  7. R

    Lissu na wewe toka miaka 20 inatosha waachie Vijana

    Nyani haoni.. . Na wewe inatosha toka waingie wengine. Isiwe kwa mwenyekiti tu hata kuwa kwenye Kamati hizi, 5 yrs inatosha. Na wewe toka
  8. Maisha ni ubatili! Mnataka kusema sisi wenye miaka 50 tumebakisha miaka 20 kuondoka hapa duniani kama umri wa Biblia unavyosema?

    Now I'm doing 50+ Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70 Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani. Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
  9. Rais Putin akataa pendekezo la Rais mteule Donald Trump la kusitisha Vita na kuipa Ukraine uanachama wa NATO baada ya miaka 20 ijayo

    Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO. Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
  10. Tundu Lissu: Kama haujayaweza kwa miaka 20, ukiongezewa miaka Mitano utayaweza?

    Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa chama cha CHADEMA, amesema akioata madaraka, kitu cha kwanza atakachofanya ni reforms. Amesema chama kinatakiwa kiwe na katiba inayoeleza ukomo wa madaraka. Kutokuwepo na ukomo wa madaraka unafanya watu wajione ni Chama cha...
  11. Hata BOT wameweka ukomo wa miaka 10 kwa ma CEO wa mabenki, miaka 20 kwa Mbowe kuongoza chama ni mingi sana.

    Kwenye uongozi wa taasisi, iwe ni biashara au kampuni au taasisi ya aina yoyote, huwa kuna swali moja huwa tunapenda kuliuliza, ambalo ni: 'Matokeo yapo wapi?'. Hili ni swali la kikatili sana, kwasababu huwa halihitaji kujiteteta wala kulaumu watu wengine, lenyewe linataka uoneshe matokeo yapo...
  12. K

    Mbowe Miaka Mitano ni Kipi Atakifanya Kilichoshindikana Kufanywa Miaka 20?

    Mbowe kaahidi ataachia uongozi baada ya miaka mitano ifuatayo endapo atachaguliwa. Inafahamika ahadi ya kuachia uongozi alisha ifanya huko siku za nyuma; lakini kadri miaka ilivyo songa, matokeo ya uongozi wake yanazidi kufifia na kuonyesha dalili za kuwa anaifanyia kazi CCM zaidi kuliko kazi ya...
  13. Wasomi wanamageuzi wa nchii wapo wapi? Mpaka mtu aliyepata division 0 anaongza taasisi kubwa hivi miaka 20?

    Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.? Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ?? Nina mashaka...
  14. Mbowe, Damu za Watanzania zilizomwagika miaka 20 hazitakuacha salama

    Nayasema haya kwa uchungu mkubwa Damu za Watanzania zilizomwagika kuanzia Chacha wangwe, Mwangosi, Akwilina, Ben Saanane, Alphonce Mawazo, Ali Kibao, risasi alizopigwa na kuumizwa Tundu Lissu huku ukijua kabisa Chadema sio chama Cha upinzani nakuhakikishia you will pay. Kuharibu maisha ya...
  15. Ufaransa: Afungwa miaka 20 Kwa kumbaka mkewe na kualika wanaume wengine 50 wambake mkewe

    Mwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10. Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Dominique Pelicot alikuwa anambaka mkewe Giselle Pelicot (Mrs) baada ya kumpa dawa za usingizi kwa...
  16. T

    Ni kwanini baada ya miaka 20 bado CHADEMA wengi wanaona Mbowe hana mbadala?

    Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa. Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra. Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa...
  17. Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  18. Kijana wa miaka 20 natafuta ajira au kazi

    Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali. Elimu yangu kidato cha nne. Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE Mawasiliano +255696993834
  19. U

    Serikali ya Iran yafunga kiwanda chake cha kutengeneza magari kilichojengwa Syria miaka 20 iliyopita, sababu za kiuchumi na mahusiano mabaya zatajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20 Syria...
  20. G

    Maksi za Chupi zamponza Mhadhiri / Lecturer, Jela miaka 20 kwa kosa la kuomba Ngono ili kumfaulisha mwanafunzi wake

    Tatizo hili limekuwa sugu sana, Karibu kila chuo kuna wahadhiri hunyanyasa mabinti kwa kutumia kisingizio "Mwalimu na mwanafunzi wa chuo wote ni watu wazima" wengine wamewahi kufumaniwa baada ya wanafunzi kupeleka ushahidi wa kunyanyaswa lakini wanaishia kuhamishwa vituo vya kazi, kuonywa au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…