mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kulikoni sioni tena vitisho vya polisi na wakuu wa mikoa juu ya D9

    Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona. Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji. Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Eurekaah! Mikoa iliyokinukisha sana ina maendeleo makubwa ya vipato; ile iliyolala, na vipato vyao vimelala!

    Nywinywinywi Nywaaaaaa! Chikichiki Pah Pah Paaah! Hoja hai, haiwi mfu kwa Risasi! Za nini Risasi? Nashambulia nikitokea upande wa winga wa uchumi. Eee bana wee! Wanazuoni wengi mashuhuru kwenye uwanda wa sayansi ya siasa na uchumi, wamekuwa mara nyingi wakinasibisha jamii huru na zenye haki na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pongezi za dhati kwa wasukuma, mikoa waliyojaa haijavuma kwenye maandamano, ni watu watiifu na wakarimu sana

    Edit: hali ilikuwa mbaya, nawaombeni radhi
  4. JamiiForums Tanzania Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia

    Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia.. Unakuta kimji kidogo kiwilaya ila watu wanakosa maji kweli? Basic human need ..nchi hii..huku wengine Wana bilioni 20 kwenye akaunti, wengine wananunua vifaa vya ujenzi vya bilioni 2+, wengine hata tunapewa Dole la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kwanini mpaka leo hakuna barabara ya lami inayounganisha Arusha na mikoa ya karibu Mwanza na Mara, usafiri ni wa kuzunguka mikoa mingine

    Kisingizio hakiwezi kuwa mbuga kwani kuna mbuga nyingine zenye barabara za lami kama Mikumi. Kisingizio si lazima kuwa ikolojia au kusema mbuga ni urithi wa dunia, ingawa hayo ni kweli. Hata hivyo, Watanzania wanahitaji usafiri wa haraka na wa gharama nafuu, huku wakifurahia mandhari ya...
  6. JamiiForums Tanzania Unafundishaje watu kuwafanya wenzao watumwa halafu unawafundisha kuheshimu na kumuomba Mungu huyo huyo ambae amewaumba hao utakaowafanya watumwa?

    Cha kwanza wanafuta utashi asilia kichwani mwako alafu wanakubandikia ustadi mpya katika fikra yako, kinachofata unadhani unasimama katika uelevu na utimamu ila kuhakika ni utumwa wa kifikra.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kiongozi imara sas mikoa inafikikq

    HAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamia
  8. JamiiForums Tanzania Urasimu wa ofisi ya ardhi Dodoma Jiji na mikoa mingine.

    Binafsi ni mdau wa makazi yaliyopangwa na kupewa matumizi kulingana na mpango wa eneo husika. Kifupi uwa ninahisi kero kupita sehemu ambazo zina ujenzi holela, kwa mantiki hiyo nimekuwa nashawishika kununua maeneo yaliyopimwa. Nilifanikiwa kununua eneo Dodoma (mtumba) na kufanya malipo...
  9. JamiiForums Tanzania Mikoa 7 huwezi kufanya biashara kama huna mganga wa kweli

    1.Njombe 2.Mbeya 3.Mwanza 4.Katavi 5.Rukwa 6.Dar 7.Simiyu
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa ya pwani inaoenakana kuwa ni hub kubwa ya vidume walio chapati?

    LINDA MTOTO WAKO DHIDI YA USODOMA Sawa unaweza kubeza au kutukana huku ukisema kuwa we ulijuaje bila ya kwenda kuwatafuta? Ila ndugu yangu hauwezi ijua hii east africa kama umekaa kwenye kochi la shemeji 24/hrs ukisibiria kuangalia marudio ya jua kali na pia kidume chapati anajulikana tu hata...
  11. JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

    Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa. 1. Dar es Salaam 2. Mbeya 3. Arusha 4. Kilimanjaro 5. Mikoa yote Zanzibar 6. Pwani 7. Lindi 8. Mtwara
  12. JamiiForums Tanzania Hii mikoa ikipiga kura za visasi dhidi ya CCM ya Samia haipati hata asilia 25

    Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana. Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000 Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021...
  13. 3

    JamiiForums Tanzania Haya mambo 5 watu wa Dar wanayafanya bila aibu, ila kwa mikoa mingine ni mshangao au aibu tupu! Je, ni maendeleo au tunapotea?

    Wakuu niaje Nimekuwa Dar es Salaam kwa miezi kadhaa sasa, na kuna mambo nimeyaona ambayo kwa watu wa huku ni ya kawaida kabisa, lakini kwa sisi tuliokulia mikoani yanaweza kushangaza, kuchekesha au hata kuwa ya aibu. Je, haya ni maendeleo au tunapotea kimaadili? Hebu tujadili kwa uwazi lakini...
  14. JamiiForums Tanzania 0762484200 WACJIMBAJI VISIMA VIREFU MIKOA YOTE

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Top 5 Mikoa inayoongoza kwa Matukio ya kutisha Tanzania

    Wewe ngoja nikwambie kitu leo... kuna baadhi ya mikoa Tanzania imeamua kufanya "matukio" kama ni michezo ya ligi kuu, na kila wiki kuna headline mpya. Ila sasa wiki hii ARUSHA imejifanya kama imepata jeuri ya kuingia kwenye ligi ya "mikoa ya matukio balaa"... 😂 Sasa nasoma habari eti arusha...
  16. JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima virefu na vitupi mikoa yote

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Kweli Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa wengi ni wa dini fulani?

    NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli. 1. Mkoa wa Dar es Salaam...
  18. JamiiForums Tanzania Wachimbaji Visima katika Mikoa yote

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima mikoa yote

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya...
  20. JamiiForums Tanzania 0762484200 WACHIMBAJI VISIMA MIKOA YOTE

    Karibuni Sana 1. Utafiti wa maji chini ya ardhi (Underground water prospecting) 2. Uchimbaji na ujenzi wa visima vya maji (Borehole / water well drilling and Constructions) 3. Upimaji kiasi cha maji kwenye visima na vyanzo vya maji kwa ujumla (Yield testing /Pumping test for the water wells...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…